Usitake kujificha hukoWapi nimesema Einstein au Kepler ni wa kwanza?
Unaweza kunionesha?
Au ni utoko na ukoko ulio kichwani mwako tu?
Hujajibu swali.Usitake kujificha huko
Awe yeyote yule bado atakuwa sio wa kwanza Tu
Hata umpake wanja kiasi gani
Mgombea gani, wa nchi gani, mwaka gani?KUNA MGOMBEA MMOJA WA URAIS ALISEMA USHINDI WAKE HATA MUNGU HAWEZI KUZUIA. NA KWELI MUNGU HAKUWEZA KUUZUIA. ALISHINDA VIZURI SANA TENA SANA. ALIPOLETEWA TAARIFA YA KUWA 'UMECHUKUA KURA ZOTE' ALISHTUKA AKAKATA PUMZI PALE PALE. OUR GOD IS OMNISCIENT -knows all, OMNIPOTENT -has all powers OMNIPRESENT - available everywhere NEVER TAKE HIM AS A BACTERIA.
Tancredo Neves (Former President of Brazil). During the Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him ...Mgombea gani, wa nchi gani, mwaka gani?
Hii ni habari kubwa, taja specifics.
Ama sivyo unajiweka katika kundi la uongo.
Ina maana Mungu ni mtu wa visasi ?KUNA MGOMBEA MMOJA WA URAIS ALISEMA USHINDI WAKE HATA MUNGU HAWEZI KUZUIA. NA KWELI MUNGU HAKUWEZA KUUZUIA. ALISHINDA VIZURI SANA TENA SANA. ALIPOLETEWA TAARIFA YA KUWA 'UMECHUKUA KURA ZOTE' ALISHTUKA AKAKATA PUMZI PALE PALE. OUR GOD IS OMNISCIENT -knows all, OMNIPOTENT -has all powers OMNIPRESENT - available everywhere NEVER TAKE HIM AS A BACTERIA.
KUMBUKA KUWA MUNGU SIO MTU. YEYE NI MUNGU. IMMORTAL. NEVER DIES. UKISEMA NI MTU UNAKOSEA. HATUWEZI MUELEZEA YUKOJE. NI FUMBO(PARABLE)Ina maana Mungu ni mtu wa vusasi ?
Na mwenye hasira ?
Kuna wajamaa flani Wale wazee wa Amkeni na mnara wa mlinzi wanasema sisi wa Africa tulikua ni kizazi cha kain so mtoto mmoja wa kiume alkua anamchungulia babake yani alikaa vibaya afu akaanza kucheka akawaita na wenzake waje washuudie baba yao alivokaa vibaya lakini Wale watoto wenzake walipofika pale wakamsitiri baba yao kwa kumfunika na nguo ingine hapo ndio yule mzazi akatoa laana kwa yule mtoto alie mcheka akisema kua kuanzia sasa kizazi chako chote kitakua cheusi [emoji1]Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
Ni uongo wa kuungaunga tu.Tancredo Neves (Former President of Brazil). During the Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him ...
Thibitisha Mungu yupo.KUMBUKA KUWA MUNGU SIO MTU. YEYE NI MUNGU. IMMORTAL. NEVER DIES. UKISEMA NI MTU UNAKOSEA. HATUWEZI MUELEZEA YUKOJE. NI FUMBO(PARABLE)
RAFIKI WE JUA TU KUWA MUNGU HADHIHAKIWI. I rest my caseNi uongo wa kuungaunga tu.
Untimely Deaths of Famous People Who Mocked God - Fiction! and Unproven!
Rais Duterte kam challenge Mungu na hajafa, huyo Mungu kasinzia?
Ukisoma wataalam wa kusoma Biblia kama James L Kugel, profesa aliyefundisha mpaka Harvard masomo ya Biblia, anasema Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, kimefutwa futwa mara nyingi na kubadilishwa sana, na ni hadithi za Wayahudi tu, kwa hiyo si kitu cha kusoma kama habari za ukweli.Kuna wajamaa flani Wale wazee wa Amkeni na mnara wa mlinzi wanasema sisi wa Africa tulikua ni kizazi cha kain so mtoto mmoja wa kiume alkua anamchungulia babake yani alikaa vibaya afu akaanza kucheka akawaita na wenzake waje washuudie baba yao alivokaa vibaya lakini Wale watoto wenzake walipofika pale wakamsitiri baba yao kwa kumfunika na nguo ingine hapo ndio yule mzazi akatoa laana kwa yule mtoto alie mcheka akisema kua kuanzia sasa kizazi chako chote kitakua cheusi [emoji1]
kwa kuwa wewe upo basi Mungu yupo.Thibitisha Mungu yupo.
Nitajuaje tu wakati wewe unayetaka kunijulisha umeshindwa kunijulisha?RAFIKI WE JUA TU KUWA MUNGU HADHIHAKIWI. I rest my case
"Suala la uwepo wa Mungu ni jambo la imani"Huna nia ya kuelewa nilichouliza wala kujibu swali.
Ungekuwa na nia hizo, ungekuwa na utashi zaidi.
Hayo ya James L Kugel,je wewe ya kwako ni yapi baada ya kusoma maelezo yake?Ukisoma wataalam wa kusoma Biblia kama James L Kugel, profesa aliyefundisha mpaka Harvard masomo ya Biblia, anasema Biblia ni kitabu kilichoandikwa na watu tu, kimefutwa futwa mara nyingi na kubadilishwa sana, na ni hadithi za Wayahudi tu, kwa hiyo si kitu cha kusoma kama habari za ukweli.
Ni kama sisi tuanze kuandika habari za kina Shaka Zulu na Mwanamalundi tuwafanye mitume.