Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hizi ni simulizi fikiriki za wagiriki
 
Haifai kusema makosa 10 ya Mungu Bali sema mambo kumi ya Mungu akili yangu imefeli kuyaelewa.
 
Ndio upendo aliofundishwa mkuu...sijui kama angekuwa Yesu angewasamehe wale watesi wake.
We jamaa weak kweli yani eti unafanya judgement kuhusu mungu at the sometime ukipewa za uso unatolea mifano ya yesu .so hunaimani na mungu ila yesu hueleweki
 
Unalenga nini haswa ?
Dhana haiwezi kujipinga kuwapo kwake yenyewe halafu ikawepo kwenye ukweli nje ya kudhanika tu.

Tukijua haiwezekani kukawa na duara ambalo pia ni pembetatu katika Euclidean plane geometry, halafu mtu akakwambia ana pembetatu ambayo pia ni duara, mtu huyo ama atakuwa muongo ama mjinga.
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusemaje ... Tumia kiswahil pulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…