Makosa 10 aliyotenda Mungu

Nilisikia kuna mashetani wa kibinadam kama ilivyokawaida ya shetani anashughulika na mambo Tata akiacha lundo kuu la neema za Muumba zisizomithilika na huyu bwana ana hisa na mpinga Mungu. Najiuliza kwanini hoja ziwe kinzani tu!
 
Kosa LA 11 kumuumba binadam mwenye KUNYA ; ilitakiwa tukila mara moja tu baaasi
Kama waona Mungu kakosea kukufanya kunya,wewe usie kosea badilisha,usinye.Ndio hapo tutajuwa kakosea.Mungu yupo,huko kukufanya unye,ushahidi wa kuqa yupo,ni miongoni mwa ushahidi kuwa Mungu yupo.
 
Hukunielewa papa k1
Alieandika makosa 10 ya mungu nalikuwa nataka ajifunze kufikiri.
Ki Mimi mungu hakosolewi.
Kama ni makosa hats wanawake kuzaa sadaka ya kutaga Kama kuku
 
Hukunielewa papa k1
Alieandika makosa 10 ya mungu nalikuwa nataka ajifunze kufikiri.
Ki Mimi mungu hakosolewi.
Kama ni makosa hata wanawake kuzaa badala ya kutaga Kama kuku angessema ni loss la 12


Kama waona Mungu kakosea kukufanya kunya,wewe usie kosea badilisha,usinye.Ndio hapo tutajuwa kakosea.Mungu yupo,huko kukufanya unye,ushahidi wa kuqa yupo,ni miongoni mwa ushahidi kuwa Mungu yupo.
 
Vipi story ya Shetani, ina uzuri gani?!
Na inamaana wakati Mungu anamuumba shetani hakujua yatakayotokea?
 
Vipi story ya Shetani, ina uzuri gani?!
Na inamaana wakati Mungu anamuumba shetani hakujua yatakayotokea?
Pengine hilo kosa hadi leo analijutia.Limemsababishia auwe watu wengi wakiwemo Yesu na Manabii kibao.
 
Uzi ume-score like kama 42 hivi. Lakini muanzisha uzi anachagama peke yake. Watanzania sisi ni waoga au wanafiki?. Charmilton hongera sana jamaa yangu. Na uelewe wengi wanakuelewa tu.
 
WA Tz tunamuelewa vipi?
Jamani tuseme hata wanawake kuzaa badala ya kutaga ni kosa ?
Au unafikiri hata kuumba jinsia mbili alikosea?
KWA hiyo angeumba paja la kulia cha kiume na paja la kushoto cha kike ndo ingekuwa sawa ili kupunguza usumbufu?
 
Lengo kuu la Mungu kumuumba binadamu ni moja tu....nalo ni kumuabudu yeye....QURAN (Anajinadi, na wala sikumuumba Mwnadamu na Majini isipokuwa waniabudu mimi..) Hayo unayotazama kama makosa yake...ni sawa na kumlaumu Baba au Mama kwa kukuzaa na kushindwa kukutimizia mahitaji yako...JARIBU fuata lengo kuu...fikra kama hizo zitafutika kichwani mwako...Mtukuze kwa moja tu, Pumzi ulipii.. mengine utajiongeza.
 
Hivi Babako akikuweka kwenye chumba kinachovuja ili hali yeye ana bonge la self, hautahoji?

Sasa kwa nini Mungu atuweke kwenye sayari iliyojaa majanga asili wakati kuna Sayari lukuki?
 
WA Tz tunamuelewa vipi?
Jamani tuseme hata wanawake kuzaa badala ya kutaga ni kosa ?
Au unafikiri hata kuumba jinsia mbili alikosea?
KWA hiyo angeumba paja la kulia cha kiume na paja la kushoto cha kike ndo ingekuwa sawa ili kupunguza usumbufu?
Hoja zote kumi zina Logic,....siwezi kusema kwa nini watu hawatagi wakati wanazaa vizuri bila matatizo makubwa......Lakini lazima niulize kwa nini Mungu awatese watu wake awapendao?
 
Uzi ume-score like kama 42 hivi. Lakini muanzisha uzi anachagama peke yake. Watanzania sisi ni waoga au wanafiki?. Charmilton hongera sana jamaa yangu. Na uelewe wengi wanakuelewa tu.
Pamoja sana Jamaangu.....Hili bara letu lipo nyuma kuliko mengine yote kwa sababu sisi hatupendi kuhoji na kuchunguza mambo yanayotuhusu na kutuzunguka......Si ajabu ndio maana hatujawahi kuto mvumbuzi/mgunduzi hata mmoja.
 
WA Tz tunamuelewa vipi?
Jamani tuseme hata wanawake kuzaa badala ya kutaga ni kosa ?
Au unafikiri hata kuumba jinsia mbili alikosea?
KWA hiyo angeumba paja la kulia cha kiume na paja la kushoto cha kike ndo ingekuwa sawa ili kupunguza usumbufu?
Ngoja nikuulize swali, kama wewe ni mwanaume hebu fungua vishikizo vya shati, jiangalie vizuri kifuani...hizo chuchu zilizoko kifuani kwako Mungu aliziweka za kazi gani wakati wewe haunyonyeshi?
 

Hivyo tu?!! Halafu akishaabudiwa kinatokea nini?
 
Hahahaaaa.... Aaahyi.... Hivi watu wakiacha kumwabudu Mungu, atapungukiwa na kitu Gani?...nimeuliza to.
Tabu sana mkuu. Mungu alikaa akaona atengeneze watumwa, then hao watumwa badala ya kuwapa kazi productive yeye anawaambia kazi yao ni kumsifia tuuu mwanzo mwisho, wasipomsifia anawauwa kwa njaa maradhi na majanga mengine!! Wakati huo anajua kila kitu....hahahaha alfu leila ulela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…