sio kweli kuwa Mungu huyajua mabaya yanayotaka kukujia asizuie wapo watu wengi sana Mungu huwapa taarifa ya mambo yanayokuja lkn je?ni kwa jinsi gani mpaka upate hicho kibali ni kwa usafi wa moyo anasema wale wamtafutao kwa bidii watamuona the way unavyomtafuta Mungu ndivyo na yeye huwa karibu na ww na akiwa karibu na wewe basi mabaya yote yatakayo juwa yamepangwa juu yako atakuepusha nayo.ufahamu wakumkosea Mungu waliupata kupitia maagizo waliyokuwa wamepewa na Mungu tokea mwanzo kuwa ukifanya hili na hili utakuwa umefanya dhambi. Mungu hajawahi kumchezea mwanadamu hata siku mmoja ila wanadamu ndio tunaomchezea Mungu tena vibaya kiasi kwamba Mungu angekuwa ndie mwanadamu basi angeshatuangamiza.cha kujua tu mambo ya Mungu ni ya usafi na usafi ni wa moyo ukitaka kujua kuwa Mungu yupo na anatenda kazi sawasawa mtafute jikite kutaka kumfahamu na si kumkosoa hakika utamuona na anatenda mimi kuhusu Mungu siadithiwi na mtu yeyote ila nimejitoa kumtafuta na ninataka nimjue na si kupitia kwa mtu yeyote ila kwa juhudi zangu kwa kulisoma neno lake na na kumuomba yeye Mungu wa mbinguni akubariki sana na maombi yangu kwa Mungu ikute unauliza kwa kujifunza na si vinginevyo.soma kitabu cha mwanzo 6:1-22 ndipo utaona ni kwa jinsi gani wanadamu tusivyokuwa na utii na usikivu kwa Mungu.Siyo kweli kuwa mungu anatuwazia mema, mbona anayajua mabaya yatakayonikabili huko mbeleni? kwanin asizuie??? mnaongea kirahisi sana. Halafu mwanadamu hakujua chochote walka dhambi, je ufahamu wa kumkosea Mungu waliutoa wapi???? Where did the knowledge of sin came from??? was not something planted by God himself into human being mind bila binadam kujua chochote??? why tusikubali tuu japo ni ukweli mchungu kuwa Mungu anatuchezesha binadamu kama game kama play station????????? coz he knows the future much than he can determine our past, sasa utende wema Mungu anajua, utende ubaya pia alijua utautenda, je kosa la mwanadam lipo wapi jmn???
Naomba nipingane na wewe kwenye baadhi ya sehemu, kwanza kabla ya yote, unaamanaisha unaposema afrika haikuwahi kuwa na oldest civilization? yaani mkuu olduvai golge ndo oldest civilization iliyobaki? Mheshimiwa hivi unafahamu kwamba semitic languages kama (hebrew, arabic, phoenic,aramaic etct) ni tawi ya afroasiatic languages kwa maana chimbuko lake ni afrika? kuna sehemu nyingi sikubaliani na wewe ila naomba unijibu maswali yangu kwanza labda utakuwa unamaanisha kitu kingine.
sio kweli kuwa Mungu huyajua mabaya yanayotaka kukujia asizuie wapo watu wengi sana Mungu huwapa taarifa ya mambo yanayokuja lkn je?ni kwa jinsi gani mpaka upate hicho kibali ni kwa usafi wa moyo anasema wale wamtafutao kwa bidii watamuona the way unavyomtafuta Mungu ndivyo na yeye huwa karibu na ww na akiwa karibu na wewe basi mabaya yote yatakayo juwa yamepangwa juu yako atakuepusha nayo.ufahamu wakumkosea Mungu waliupata kupitia maagizo waliyokuwa wamepewa na Mungu tokea mwanzo kuwa ukifanya hili na hili utakuwa umefanya dhambi. Mungu hajawahi kumchezea mwanadamu hata siku mmoja ila wanadamu ndio tunaomchezea Mungu tena vibaya kiasi kwamba Mungu angekuwa ndie mwanadamu basi angeshatuangamiza.cha kujua tu mambo ya Mungu ni ya usafi na usafi ni wa moyo ukitaka kujua kuwa Mungu yupo na anatenda kazi sawasawa mtafute jikite kutaka kumfahamu na si kumkosoa hakika utamuona na anatenda mimi kuhusu Mungu siadithiwi na mtu yeyote ila nimejitoa kumtafuta na ninataka nimjue na si kupitia kwa mtu yeyote ila kwa juhudi zangu kwa kulisoma neno lake na na kumuomba yeye Mungu wa mbinguni akubariki sana na maombi yangu kwa Mungu ikute unauliza kwa kujifunza na si vinginevyo.soma kitabu cha mwanzo 6:1-22 ndipo utaona ni kwa jinsi gani wanadamu tusivyokuwa na utii na usikivu kwa Mungu.
hUkunielewa nilichouliza brazaSiwezi bisha kua olduvai is the oldest of all.
Lakini nachoweza kubisha ni amount ama volumes of informaton /Facts availablein Olduvai gorge hazitoshi kujibu maswali mbalimbali yanayoisumbua dunia mpaka sasa. Kwasababu ni chache na hazikuwahi kua documented na hiyo ancient civilaization.
Mheshimiwa ww unavyofahamu misri kwani ipo wapi, kwa haya majibu inaonyesha kabisa haufahamu historia ya misri na watu wake wa kale walokuwa wanaishi na afrika ya kaskazini kwa ujumla au labda umebase sana kiimani. jaribu kusoma vyanzo tofauti tofauti usome historia ya misri na afrika bila kusahau ethiopia languages na alphabet.Kwa mfano haziwezi kueleza technological evolution in details kama pala egypt, pia hazitoi majibu kuhusu uwepo wa ancient alliens, UFOs(Unknown Foreign Objects), and may be haziwezi eleza kuhusu viumbe wengine kama Jurassics, Dinosours and their extinctions.
Mheshimiwa ww unavyofahamu misri kwani ipo wapi, kwa haya majibu inaonyesha kabisa haufahamu historia ya misri na watu wake wa kale walokuwa wanaishi na afrika ya kaskazini kwa ujumla au labda umebase sana kiimani. jaribu kusoma vyanzo tofauti tofauti usome historia ya misri na afrika bila kusahau ethiopia languages na alphabet.Kuna vitu kama ancient technology, olduvai can only speak about most primitive known to man.
Lakini ukienda say Egypt, utakuta kuna vitu vikubwa kama obelsik, pyramids, etc..
NINI maana ya civillization, ni zipi hizo zilizozama baharini na naomba ushahidi.Pia usisahau kuna pia civilaization Zilizozama baharini.
Kwa haya majibu unayojibu jaribu kufuatilia ancient civilization kwa dunia nzima, usibase tu kwenye imani pekeee kama ndo main source. jaribu kusoma historia upate uwelewa yaani inaonyesha haufahamu vizuri historia na ancient civilization.Kuhusu lugha hizo za hebrews kua na asili ya afrika.
It may be, logical true. Kwasababu, inazidi kudhihirisha sisi wanadamu tuna asili moja way back. Sio tofauti kama kondoo na mbuzi.
Ama punda na farasi ambao kuzaana ni tabu. Ofcause watazaa Mule, ambapo "Mule" hawezi kuendelea kuzaa mtoto.
Tatizo wanataka wamtete Mungu mpaka wasipo wezahahahaha Szczesny karibu kwenye jukwaa hili mkuu. watu waoga afu watenda dhambi afu wanajidai kumtetea wasiomwamini wala kufanya yasiyo mapenzi yake.
Mkuu Bibilia is the most generous book ever known to Man.2013:
unabisha vitu usivyovijua, jaribu kusoma hiki kitabu..
>>>> Amon Saba Saakana-African Origins of the Major World Religions-Karnak House Publishers (1991).pdf
2013:
unabisha vitu usivyovijua, jaribu kusoma hiki kitabu..
>>>> Amon Saba Saakana-African Origins of the Major World Religions-Karnak House Publishers (1991).pdf
Tatizo wanataka wamtete Mungu mpaka wasipo weza
Sasa mfano sehemu ya kwanza kabisa et Mungu aliumba mti wa mema na mabaya, kwanza kwa nini auweke eden kama alijua uta waathiri kina adam!!?(mana yake ali waset hapo)
Halafu Mungu alitaka watu wabaki ni wajinga hawajiulizi kitu wana mfuata tuu anacho sema, walipo pata ujuzi aka kasirika!!?
Kipindi hiko Adam alikuwa hajui mabaya kwa sababu hakuwahi yaona, sasa mtu akielekezwa kuwa huu mti ni wa mema na mabaya angeelewa vipi!!?
Maswali ni mengi kuliko majibu
Mshana Jr popote ulipo tunaomba uje utusaidie1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwani anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
Mkuu naomba unifafanulie nini maana ya civilization;
hUkunielewa nilichouliza braza
Mheshimiwa ww unavyofahamu misri kwani ipo wapi, kwa haya majibu inaonyesha kabisa haufahamu historia ya misri na watu wake wa kale walokuwa wanaishi na afrika ya kaskazini kwa ujumla au labda umebase sana kiimani. jaribu kusoma vyanzo tofauti tofauti usome historia ya misri na afrika bila kusahau ethiopia languages na alphabet.

NINI maana ya civillization, ni zipi hizo zilizozama baharini na naomba ushahidi.
Kwa haya majibu unayojibu jaribu kufuatilia ancient civilization kwa dunia nzima, usibase tu kwenye imani pekeee kama ndo main source. jaribu kusoma historia upate uwelewa yaani inaonyesha haufahamu vizuri historia na ancient civilization.
OK ila fuata ushauri niliokuambia hapo juu soma historia ya kale upate kuelewa tusiiharibu mada, endelea kuelemisha wasioamini uwepo wa mungu.civ·i·li·za·tion
\ˌsi-və-lə-ˈzā-shən\
noun
: the condition that exists whenpeople have developed effectiveways of organizing a society andcare about art, science, etc.: a particular well-organized anddeveloped society: all the societies of the world
Full Definition
1 a : a relatively high level ofcultural and technologicaldevelopment; specifically : thestage of cultural development atwhich writing and the keeping ofwritten records is attained
b : the culture characteristic of aparticular time or place2 : the process of becomingcivilized3 a : refinement of thought,manners, or taste
b : a situation of urban comfortciv·i·li·za·tion·al \-shnəl, -shə-nəl\ adjective
Examples
the impact of technicaladvancements on civilizationWe are studying ancient Greekcivilization.a book about life on the planetafter wars have destroyedcivilization
First use: 1772
Synonyms: culture, life, lifestyle,society
Antonyms: barbarianism,barbarism, philistinism
Hii ni according to Webster dictionary.
Lakini pale olduvai hakuna cha maana zaidi ya michoro tena mapangoni. wale ni wanyama kabisa. Savage.
Tena historia ya Tanzania iligubikwa na uongo kwa mfano kuambiwa mtumwa anatobolewa kisigino na mwarabu kisha anawekwa mnyororo anatembea. Kutoka tabora mpaka tanga.
Nikaja kushangaa kumbe hata huo utawala wa zanzibar haukua wa waarabu.
Sielewi huu usanii unafanyika.wa nini.?
Mkuu una mawazo mapana sana...hongera kwa hilo, watu tunatakiwa tujue mambo yanayo tuhusu, sasa tutajuaje bila kuhoji na kuuliza??? ninacho kiona kuna watu wanamfananisha Mungu na madictator kama ulivyosema....sijui wanadhani Mungu ni Hitler???Dah....kuna baadhi ya mambo ukiyawaza huwez pata majibu..binadamu watajitahid kufafanua lakn hamna kitu..inafika sehemu wanakwama.....maswali magumu hayo sio ya kujibu kirahisirahisi.....Na pia Mleta mada amewaza sana na Ana haki ya kuuliza sababu Mungu si Dikteta au Athumani......
Inakupasa utubu haraka hiyo ni kufuru. Mungu ni mkamilifu hana upungufu wowote. Yeye si mwanadamu.1.KUMUUMBA SHETANI: