Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.Thanks mkuu, hua ninafikiria pale waheshimiwa sana wachungaji wanapokomalia fungu la 10 huku mishipa imewasimama as if wamezifanyia kazi. Kwamba unamtolea Mungu wakati namuona kabisa Kakobe anainunulia prado mi hua sielewi kwa kweli. Na usipotoa unaonekana muasi, hakuna hata mmoja kati ya wanaokuhukumu anaekumbuka kwamba hilo kanisa analosali nalo lilianzishwa kwa uasi in the sense that mchungaji/askofu aliwahi kua wa kanisa fulani wakashindwana (mara nyingi sababu ya maslahi) na yeye akaanzisha kanisa lake. Mifano iko mingi tu ya watu kujipumbaza na kupumbaza wenzao kwa kisingizio cha Mungu, ifike mahala kijiko kiitwe kijiko tu kama kilivyo. Asilimia kubwa watu wanaenda kwenye nyumba za ibada just to find a place to belong, na wanatoa sadaka ili wajisikie kwamba wamefanya kitu chema walau katika mlima wa vitu vibaya wanavyovifanya.
Haya Sasa Naona Wafuasi Wa Mleta Thread Wameanza Kupatikana!!Nakuunga mkono! Kama Mungu aliumba Adam na Eva wawili tu weupe wakazaana. Uzao wao ukawa mweupe, sasa sisi waafrika weusi tulitoka wapi? Ukiuliza unaambiwa unakufuru!
hahahahahaaaaaaaa, ngoja wajeJamani tushafika mpaka huku, kumkosoa rais mmeona haitoshi sasa mmeamia kwa sir God aisee we jamaa ungekuwa karibu yangu ningekutia ngumi
hahhahahaaha laiti ungefunuliwa yaliyofichika usingethubutu hata kuyaongea haya yote someni Biblia acheni kuongea bila mpango ndugu yangu.Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.
Jibu swali, tatizo la watu ni kuwa likija suala la Mungu hamtaki kufikiri. Padri , shekh wanafikiri kwa niaba yako , waumini hamruhusiwi kufikiriHaya Sasa Naona Wafuasi Wa Mleta Thread Wameanza Kupatikana!!
Kwa heri! Level mbili tofauti kabisa.Nijibu Nn Wakat Qur An Na Bible Vshaeleza N Wew T Ndo Mvivu Kusoma Unataka Majbu Ya Harak Hark Wkt Il Uelew Soma Vtab Vya Din Na C Usome Haya M1 No Maan Elmu Y Dni N Saw N Elimu Nyngne N Lazm Ujfunze Mwanzo Mwsho Ndo Hutaelew, Na Kuw Padr Et Haruhs W2 Kufikir No! Kwan N Yey Ndo Mweny Ksomo Kat Y Weng Hvyo Anawaelimish kama ww unavyohtaj elmu ya dini, ww n mvivu ksma, kasome utaelew,
hivi unamjua Mungu au mungu ...Mungu hayupo hivo unavojua wewe kasome biblia vizur ina majibu yote kabla haujazaliwa yalisha jibiwa
Dhambi zetu ndiyo chanzo cha laana zote sasa Mwenyezi Mungu kosa lake lipi? Wamlaumu kwa makosa ya wenye viburi na tamaa zisizosikia sheria!
Rejea kitabu cha mwanzo hayakua matakwa ya mungu kwan kumbuka baada ya kula tunda ndo chanzo cha mambo yote
BIG UP MKUU....Huu ni wakati wa kuamka na kufikiri kwajili yetu wenyewe siyo watu wengine wafikiri kwajili yetu!
Wanaotoa fungu la kumi ni wapumbavu sana, yaani kama unamshahara wa 1M kila mwezi utoe 100,000...kwa mwaka 1.2M kuwapelekea hao mamwinyi wanaojiita religious leaders...hivi mwisho wa hizo pesa ni nini??? maana hatujawahi kumwona huyo Mungu anayepelekewa akiwa anafanya shopping Dubai, akiwa anajaza petrol kwenye range yake petrol station...au akiwa supermarket akinunua vitu vya gharama kwajili ya familia yake. Zamani fungu la kumi lilichomwa moto na moshi ukapaa juu ila leo linaingia kwenye a/c zao...imagine 1.2M/year kwa miaka 20 ni 24M, kama anawatu 100 wenye mshahara wa 1M ndani ya miaka 20 anayo 480M kwenye fungu la kumi tu, achana na michango pamoja na sadaka nyingine.Hawasaidii watu zaidi ya kuwanyonya na kuwatisha kwa illusion hell fire...THIS IS BULLSHIT.