Makosa 10 aliyotenda Mungu

nina uhakika aliendika muzi huu ndio shetani mwenyewe kwa kuwa kila siku shetani hutafuta namna ya kujionyesha ya kwamba yeye ni bora kuliko Mungu Muumbaji.
 
Yote hajasababisha yeye. Mengi wamesabisha wahusika au watangulizi wao
 
Shukru tu Mungu anajua kiasi cha upumbavu wako, ns Rehema zake kwa viumbe wake wema na waovu ni kubwa mno, la sivyo hasira yake ingewaka juu yako.
 
Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!

Dah...!!!!hata mm pia nimepitia herufi kubwa tu,sijui hii dunia inaelekea wapi?Yani binadamu anapata akili hadi ya kumkosoa mungu??
 
Mm napita tu, ila Mungu hadhihakiwi ndgu yangu! Kila alichokiumba ni chema, Na kumbuka Mungu co kma mwanadamu, ulidhan Mungu ana mawazo kma yako!! Mungu akusamehe maana hujui ulitendalo!
 
Ungeweka kwanza makosa yako ingekuwa vizuri.
ameropoka pumba kavu hata punda wangu hamezi zinamkwama koon akhaa ,tumsamehe kabla ya MUNGU.
Mungu akurehemu hujui unachokitenda Pole

Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!

Yesu rudi uwaokoe watu wako wanaangamia kwa kukosa maarifa

Ngoja nikae pembeni nione mtifuano Wa wajuzi Wa mambo nyie huwaita wanazuoni

Kweli binadamu tunasahau haraka sana.
.............

Ukishiba sana ujue kinachofuata kuvimbiwa
 
KWELI NECTA WANAPATA KAZI KWENYE USAHIHISHAJI WA MITIHANI, NIMEAMINI.MTU UNAULIZWA MASWALI THEN UNAANZA KULAUMU NA KUHUKUMU....SASA NIMEELEWA NI KINA NANI WANAOANDIKA HIP HOP NA MATUSI KWENYE MITIHANI...MASWALI YAPO 10, SOMA YOTE THEN UTOE MAJIBU, KAMA HUJUI SUBIRI WANAO FAHAMU WATUJULISHE...TOFAUTI NA HAPO KAA KIMYA!!!
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]astaghfirullah
 

Wakati nasoma huu Uzi wako nilikua nacheka mpaka mbavu zinaniuma.

1. Shetani aliumbwa na Mungu kwa namna ya kipekee sana. Na alikua kiongozi mkuu Wa sifa[Lucifer]
Lakini kiburi kilimpanda akataka kuchukua mamlaka ya Mungu. Ezekiel 28: 16-19
Na Mungu ni mwingi Wa Rehema, hakuweza kumtowesha kabisa, kwa sababu Mungu angeonekana katili wakati hayuko ivo.

2. Mungu hayuko mafichoni, Mungu yupo mahari pote. Hata hapo ulipo Mungu yupo. Mungu ni roho.
Yupo mahali pa siri kwa sababu yeye ni mtakatifu hakai na watu wenye dhambi.

3. Gharika wakati Wa nuhu.
Mungu anachukia uovu [Dhambi] kumbuka Hata sodoma na gomora Mungu aliiangiza, sababu ni uovu Wa watu.
Tofauti tulionayo kizazi hiki ni Neema. Mungu alichofanya ni kumtoa Yesu afe, ili azichukue dhambi zetu. Kupitia Yesu tupate msamaha Wa dhambi.

4. Hapo Mimi sielewi, lakini Ninachoelewa Mungu anafanya atakalo. Na hakuna Wa kuzuia

5. Mungu ametimiza. Ni vizazi vingi vimepita, na hapa huna ushahidi Wa idadi ya watu toka Adam mpaka sasa.

6. Sijui

7. Ni kweli kila alichokifanya Mungu kilikua chema.
Lakini baada tu dhambi kungia ulimwenguni kila kitu kika haribika.

Ndio maana Adam na hawa walipokula matunda mti Wa ujuzi Wa mema na mabaya, Mungu akamwambi hawa, hakika nitakuzidishia uchungu Wa kuzaa kwako. Mwanzo 3:16

Kwa hio tunaishi ktk aridhi ambayo imelaaniwa na Mungu.
Hayo majanga ya tsunami, mafuriko. Ni sehemu ya laana ya aridhi.

8. Hapa nakataa. Hivi viumbe havikuumbwa na Mungu.
Ni aina ya mwanadamu maisha anayoishi husababisha Magonjwa.
Fikiria magonjwa kama ukimwi, cancer, nk. Haya miaka kama 150 iliopita hayakuwepo

9.jehanamu ya moto ipo kwa wewe unaeambiwa usiibe, usizini husikii.
Nakutubu dhambi hutaki.
Mungu ameweka haya makao ili wanaopinga amri zake wakae huko

Ndio mana duniani hapa kuna magereza kwa wale wanaokataa kufuata sheria

Mungu anasamehe. Mangapi unamkosea Mungu bado anakupa nafasi ya kutubu?

Shetani ndio alitakiwa awe mfano kwa malaika wengine, lakini yy ndio aliongoza uasi.

Mungu hana kinyongo, yy ndio anaemiliki na kutawala.

10. Hapa umekufuru ndugu Yangu, umeingilia mamlaka ya uumbaji wa Mungu.
Soma Yohana 9:1-4
Vipofu, viwete zote hizo ni Kazi za Mungu.

Chuchu za kiume??? Daa!! Kweli we ni great thinker.
Mungu alimwuumba MTu kwa mfano wake.

Mwanzo 1:26
Huo ni uumbji Wa Mungu. Na Mungu akaona vote alivyo vifanya ni vyema.

Pia nahis wew ungenyimwa chuchu, ungomhoji Mungu, mbona (Mimi sina chuchu?) Mungu hana upendeleo.

Asante. Akili za Mungu hazichunguziki.
 
Umejitahidi mkuu, umepata 12.5% hongera...marks zako nilizokupa zimepatikana kwa kukiri kuwa hujui....LAKINI NIKUPONGEZE SANAAA UMEJITAHIDI KUJIBU, SIYO SAWA NA BAADHI YA WALAGHAI WALIOJARIBU KUNITISHA NA KUNIHUKUMU...Kuhusu kulalamika kama nisingekuwa na chuchu siyo kwel, mbona sijawahi kulalamika kwa kukosa vitu ambavyo sina???
 
Ungenipa tu 0.0%
Sijui ni nini sasa.
Mi nilichoona hapa ni sawa umetoa hukumu kwa Mungu.

Wakati Mungu alimwambia kabsa mwanadamu usifanye! Mwanadamu akafanya.

Dhambi ni uasi. Na Mungu hana ushirika na mwenye dhamba, mpaka atubu.

Hayo yote ulioandika sio mageni.
Na hayo ulioandika ndio uhalisia Wa shetani alivyo.
Kazi yake ilikua kumlaumu Mungu tu.
Matokeo yake akafukuzwa mbinguni.
 
Mafundisho ya kidini mengi hutuambia Mungu ni makamilifu na matendo yake hayachunguziki ...ila kama swala la ukamili ni valid kwanini baadhi ya maamuzi yake hufanya kisha kusikitika kama lile la sodoma ??
Ukihoji hivi kama mwenye huu uzi utaambiwa unafanya kufuru na umepotea . Kuna watu wanadhani wanaenda Mbinguni bila kuchallenge wanayisadiki kama unaabudu kimkumbo umepotea sana jua una simama wapi katika imani yako
 
Unajua mi ni mfia dini, ila jibu lako linanipa ukakasi.
 
Tanzania nchi huru kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na akiamua kujamba ana jamba wakati wote.
Mleta mada umejamba sana, tena sii kidogo.
Uwe na uwoga hata robo
 
Povu limewatoka watu humu duh!
people are not understand,mweka mada pole take it easy but for the way that they are panic you can identify many something.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…