Jamaa una hoja za kitoto kichizi,yani kwa hiyo hoja yako maana yake basi hata haya majadiliano hayana maana.Kibaya zaidi huyo mungu haiwezi kujithibitisha kwa watu mpaka atumie mtu
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu wangemjua bila kutumia mtu mwengine?
Kwanini kumjua mungu mpaka amtume mtu ?
Hapo ndipo utaona huyo mungu ni hadithi
Kwani huyo Mungu ana shida gani hadi afanye hivyo unavyofikiri wewe? Hebu tueleze ni manufaa gani zaidi angefaidika nayo kwa kufanya hivyo? Maana inaonesha hivi sasa kwa jinsi ilivyo hapati faida sana anapata hasara.Eti unaambiwa kujua neno la Mungu mpaka ujue Kiarabu, utafsiri mambo kutoka Kirabu.
Au ujue Kiyahudi. Utafsiri mambo kutoka Kiyahudi.
Huyo Mungu mbona kawatenga Wadigo hivyo?
Alishindwa kumshushia neno lake kila mtu katika namnanisiyo na shaka kwenye DNA?
Kwahiyo imani ya Mungu ilienea vp ulimwenguni kote? Mfano tunajua china wana imani zao tofauti na uislamu na ukristo ila imani ya Mungu ipo kuendana na imani zao,unadhani hili wazo la kuamini Mungu lilianzia wapi na kusambaa ulimwenguni kote?Hapajawahi kutokea manabii au mitume walioandikwa ktk quran au bible kutoka nje ya wayahudi au warabu
Kwanini nchi nyingine kama China Hindus au wazungu hakuna walioandikwa ktk vitabu hivyo
Hivi huyo mungu kweli atakuwa anayo busara kweli?
Jamaa una hoja za kitoto kichizi,yani kwa hiyo hoja yako maana yake basi hata haya majadiliano hayana maana.
Unapinga dini unatetea uzalendo na utamaduni,si yale yale tu.Hapo ndipo utakapoona hivyo vitabu si vitabu vitakatifu vya Mungu.
Ni vitabu vya watu, vilivyoandikwa kufuata muktadha wa tamaduni zao.
Nilikuwa nasoma kitabu cha Karl Evanzz, kinaitwa "The Messenger: The Rise Aand Fall of Elijah Muhammad".
Elijah Muhammad ni founder wa "The Nation of Islam", kundi la Waislamu wa Marekani ambao walikuwa na muamko mkubwa wa kisiasa na kupinga maovu mengi ya serikali ya Marekani, kundi hili ndilo lilimtoa Malcolm X na kum seduce Muhammad Ali mpaka akabadilisha dini.
Kuna sehemu Elijah Muhammad alikuwa anagombana na watu wa Orthodox Islam, wa Sunni, kutokana na mambo yake yaliyo controversial, kwa kutumia jina la Uislamu.
Elijah Muhammad akawaambia ma Sheikh wale wa Sunni kwamba, kama mnataka kuniletea habari za kutaka kunitawala, nitawaambia mamilioni ya Waislamu wanaonifuata mimi huku Marekani, waache kuswali huku waki face Mecca, wote wanze kuswali waki face Chicago, makao makuu ya Nation of Islam Marekani. Kwa sababu hata katika Uislamu kabla ya kwatu kuswali wakielekea Mecca, walikuwa wanaswali kuelekea Jerusalem, tutabadilisha tu.
Wwale ma Sheikh wakampoza, wakendelea naye uzuri, mpaka leo Natiuon of Islam misikiti yao wanaswali kuelekea Al-Qqabr Mecca.
Hili jambo linaonesha kwamba hizi habari ni tamaduni tu watu wanajiwekea.
Tena ni utumwa wa kimawazo.
Ukishaambiwa Mungu kashusha Quran kwa Waarabu, na ukisali lazima uelekee Mecca, automatically unajitoa utu wako, na kujiona wewe hufai, kwenu hakufai, lugha yako haifai.
Kiarabu ndicho kinafaa, Mecca ndiko kunafaa.
Kama wewe ungekuwa unafaa, kwa nini Al-Qqabr isingekuwa kwenu? Kama lugha yenu inafaa, kwa nini Mungu hakushusha Quran au Biblia kwa lugha yenu?
Ni utumwa wa kiutama duni tu.
Unaelewa kwamba hivi ni zaidi na ninavyofikiri mimi?Kwani huyo Mungu ana shida gani hadi afanye hivyo unavyofikiri wewe? Hebu tueleze ni manufaa gani zaidi angefaidika nayo kwa kufanya hivyo? Maana inaonesha hivi sasa kwa jinsi ilivyo hapati faida sana anapata hasara.
Kwahiyo imani ya Mungu ilienea vp ulimwenguni kote? Mfano tunajua china wana imani zao tofauti na uislamu na ukristo ila imani ya Mungu ipo kuendana na imani zao,unadhani hili wazo la kuamini Mungu lilianzia wapi na kusambaa ulimwenguni kote?
Wapi nimetetea uzalendo na utamaduni?Unapinga dini unatetea uzalendo na utamaduni,si yale yale tu.
Ungejua kuna kitu kinaitwa "kuamini" basi usingesema Mungu awafanye watu wote wajue uwepo wake bila kuhitaji wengine kumuelezea.Sasa tutaamini vipi maneno kama ya kweli pindi unaposema mungu yupo?
Ungejua kuna kitu kinaitwa "kuamini" basi usingesema Mungu awafanye watu wote wajue uwepo wake bila kuhitaji wengine kumuelezea.
Haujajibu nilichouliza,nijibu nilichouliza kwani kuna ugumu gani?Unaelewa kwamba hivi ni zaidi na ninavyofikiri mimi?
Unaelewa kwamba hivi ni logical consistency?
Unaelewa kwamba dhana ikikosa kuwa na simpe logical consistency hivi huwezi kusema inaweza kuwepo nje ya dhana, seuze kuwa Mungu mjuzi wa yote?
Unauliza Baba mwenye mapenzi na watoto wake atapata manufaa gani akiamua kutowachoma visu na kuwaua hao watoto wake?
Thibitisha Mungu yupo.
Kwa hiyo hoja yako ndio maana nikauliza swali ilikuaje imani ya Mungu ikaenea duniani kote ikiwa watu waliyokuwa wakiongelea habari za Mungu walikuwa wanatoka eneo moja tu? Hebu tujadili hili.Soma vizuri hoja yangu kwanini mitume wote watoke mashariki ya kati?
Wapi nimetetea uzalendo na utamaduni?
Unaweza kunionesha sentensi niliyotetea uzalendo na utamaduni?
Unajua kusoma wewe?
Maneno ya nani unakusudia?Sina maana ya kuamini kama imani bali kama kukubali je tutakubali vipi maneno yako kama ni ya kweli kwa kusema mungu yupo?
Kiranga mungu hayupo na huyu wanaemsimulia ni mpuuzi kuliko au mzembe sana na kiumbe cha makusudi sana na kibaya kuliko ka ni kweli kipoNa hapo ndipo utakapoona, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao viumbe wake wanakufa kila siku.
Kuumba hivyo, wakati anaweza kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani, ingekuwa kuwafanyia viumbe wake roho mbaya.
Na Mungu huyo, by definition, hana roho mbaya.
Kiranga mungu hayupo na huyu wanaemsimulia ni mpuuzi kuliko au mzembe sana na kiumbe cha makusudi sana na kibaya kuliko ka ni kweli kipo
Eti Mungu anaumba, anakuwa hapendezwi na alivyoumba, anakasirika, anaghairi, anatakakuua kuanziawatu waliomkose, mpakawanyama wasio na ujuziwa mema na mabaya.Maana sifa za maandiko yake walizotusimulia inaonesha mungu ndo mdhaifu kuliko kiumbe chochote ana uwezo wote nguvu zote upendo wote Ila hawezi Ku control chochote mfano Bible tu inathibitisha udhaifu wake kuna kipindi cha Exodus Mungu alitaka kufanya maamuzi ya hovyo kabisa akashauriwa na musa na kubadili mawazo yake ok unajiuliza je huyu nd muweza wa yote?
Kuna kitu kinatuua kinaitwa indoctrination yaani tumekua indoctrinated kiasi cha kwamba hatuwezi fikiria chochote ila kukubali tuWatu wanajiondoa akili tu,kwa uvivu, kwa ujinga, kwa woga, kwa cognitive dissonance, kwa logical non sequitur, kwa deus ex machina, kwa tradition, kwa vitu viiingi, ili mradi Mungu huyu awepo tu.
Maana maisha yao yote yanazunguka habari za Mungu huyo kuwepo.
Hata wakijua ukwelikwamba hayupo, watabisha.
Leo nilikuwa nasikia habari BBC World Service, kuna Jumuiya ya Wajapani ilihamia South America, Brazil huko ndanindani.
Japan kulikuwa kunajaa watu, watu wakaenda Peru na Brazil.
Basi kuna watu wakasikia Japan imepiga, imeshindwa katika vita vikuu vya pili.
Jumuiya ya Kijapani ikakataa ukweli huo,ikawa inawaita wanachama wake, inawauliza, Japan imeshindwa?
Ukisemaimeshindwa, Jumuiya inakutenga, unatumiwa barua za vitisho, unaonekana huna uzalendo.
Kwa Jumuiya hii, kitu muhimu ilikuwa si ukweli,kamaingekuwa kitu muhimuni ukweli, kujua ukweli ilikuwa kazi rahisi kabisa.
Kwa jumuiya hii, kitu muhimu ilikuwa ni imani kwamba Japan haiwezi kushindwa kitu.
Kwa hivyo, imani ikawa muhimu kuliko ukweli.
Kwao, Japan haiwezi kushindwa.
Sasa na hapa, naona habari hizo hizo. Kuchambua ukweli kuhusu uwepo wa Mungu si kitu muhimu.
Watu wanatakakulazimisha Mungu yupo, kwa imani tu.
Ndio wale wale tu wanaosema "Japan haiwezi kushindwa". Wanasema "Mungu wa milele lazima awepo".
Pathetic!