Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Wewe Astronomer, umekosa maswali ya kuuliza ???,πππ
Bila shaka umeisha jua kuwa Mungu yupo, Alhamdulillah.
Nakukumbusha kuwa unazungumzia Upendo wa Mungu na huu ulimwengu.Euclidean geometry ina pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Na ndiyo maana unabailisha topic kutoka kuthibitisha Mungu yupo, sasa unaleta habari za mimi kuthibitisha nipo.
Kama unabisha, thibitisha kwamba Mungu yupo.
Usibadilishe habari.
Thibitisha Mungu yupo.
Sio kila anayeuliza swali hajui majibu pengine anataka kujua unao uelewa upi wa mambo
Je mwalimu akikuuliza swali darasani ana maana gani?
Inamaana hujui kama kunzia adam hadi yesu ni kizazi cha waebrania?
Wewe unaeleza kitu usichojuaπ€π€
Kwa nini haiwezekani?Nakukumbusha kuwa unazungumzia Upendo wa Mungu na huu ulimwengu.
Jibu;Haiwezekani.
Umeshasema MWALIMU, sasa we ni mwalimu??, mwalimu wa kitu gani??, au mwalimu wa Atheism? ?ππ
Hujathibitisha Mungu yupo.Kama unashindwa kumthibitishia mtu "uwepo wako mwenyewe", utawezaje kuthibitisha uwepo wa kitu kingine!!?, that's a simple logic, mimi sijabadilisha mada isipokuwa ninajaribu ku draw your attention and awareness, (ninajaribu kusensatize akili yako), kwani hapa sisi, Tz mbongo na Abuu ni kama madaktari wa ugonjwa wa 'Atheism" na hivyo tunajaribu kuwapatia kila dawa ili mpone, na hasa wewe Kiranga unatakiwa upewa "dose" kubwa sana kuliko wenzako, na bado kuna dawa zingine zipo jikoni.πππ
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha kwamba Mungu yupo.
Wazaramo walonga "kalagabaho" πππ
Muhamad hakusoma hata shule lakini kafundisha itakuwa mm nimesoma kwanini nisiwe mwalimu
Umesoma wapi??, na nini umesoma??
Duh! Hoja yako kwani ipi mbona unataka kunichosha tu hapa.Kwa nini haiwezekani?
Nakuonesha hoja yangu kwa kukuuliza, hii njia inaitwa Socratic method.Duh! Hoja yako kwani ipi mbona unataka kunichosha tu hapa.
Nimeeleza kabisa kuwa hoja yako ya contradiction umeijenga kwenye upendo wa Mungu na huu ulimwengu.Nakuonesha hoja yangu kwa kukuuliza, hii njia inaitwa Socratic method.
Nikikuambia kitu mimi moja kwa moja unanikatalia, nataka twende kwa logic yako ili uone sababu, uone hoja, mwenyewe.
Kama una nia ya kujua ukweli, jibu swali.
Kama unataka kubishanabishana tu, unaruhusiwa kutojibu swali.
Muhamad kasomea wapi anashika akili zako na kukuambia habari usioweza kuwa na uthibitisho nazo
Sababu hiyo hiyo inayofanya pembetatu duara lisiwepo, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu unaoweza kuwa na maovu asiwepo.Nimeeleza kabisa kuwa hoja yako ya contradiction umeijenga kwenye upendo wa Mungu na huu ulimwengu.
Hiyo pembetatu duara ushaieleza sana ila tatizo linakuja unapohitimisha hakuna Mungu,hiki ndiyo kitu ambacho hukielezi.
Si umesema Yeye hajasoma, na wewe unasema umesoma, sasa ninakuuliza swali rahisi tu, umesoma wapi??, na umesoma nini??, mbona umegeuka mbogo!!πππ Astro nomaaa.
Poa.Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.