Kwa munasaba wa tulichokiongelea "Poa" haina utata hapo wala hakuna haja ya kuijadili "Poa". Tafakari.Hujamaliza.
Umeandika poa, hujaeleza poa ni kwa kipi.
Poa unakubali Mungu hayupo?
Au poa unakubali kwamba huwezi kuthibitisha Mungu hayupo?
Au poa hutaki kubishana tu umeshindwa kuendelea?
Au poa kumaliza mjadala tu hujui hata poa ya nini hususan?
Kukubali hakuna Mungu ni sawa na kuanguka kwenye shimo kwa bahati mbaya,sasa wewe unamuuliza mtu kama anakubali kuingia kwenye hilo shimo?Poa maana yake nini?
Umekubali Mungu hayupo?
Munasaba upi? Kwa nini poa haina utata? Kwa nini unafikiri wewe ndiye wa kutoa tamati ya shauri la kama poa ina utata au haina utata?Kwa munasaba wa tulichokiongelea "Poa" haina utata hapo wala hakuna haja ya kuijadili "Poa". Tafakari.
Hujathibitisha Mungu yupo.Kukubali hakuna Mungu ni sawa na kuanguka kwenye shimo kwa bahati mbaya,sasa wewe unamuuliza mtu kama anakubali kuingia kwenye hilo shimo?
Nyie wenyewe hamjui ni vp hakuna Mungu,hadi sasa haijulikani hoja ya msingi ya kusema hakuna Mungu ni ipi? Kila mnalojisikia kuongea mnaongea tu.
KUPINGA NI JAMBO RAHISI SANA.
Nimesimama kwenye haki.Munasaba upi? Kwa nini poa haina utata? Kwa nini unafikiri wewe ndiye wa kutoa tamati ya shauri la kama poa ina utata au haina utata?
Haki inasimama kwenye kunyumbulisha mambo.Nimesimama kwenye haki.
Husemwa " Ijue haki,utawajua wenye haki kina nani"
Inaonekana hujui haki bali hata sifa zake huzijui. Unakielewa ulicho kiandika ?Haki inasimama kwenye kunyumbulisha mambo.
Wewe unasema "poa", watu wanakuuliza unyumbulishe "poa" maana yake ipi?
Unaruka, hutaki kunyumbulisha maana ya poa.
Unasema haina mjadala, hata baada ya kuulizwa.
Hujasimama kwenye haki.
Hupo hata kwenye chaki ya haki.
Huna hata haki ya mabaki.
Huna hata haki ya Zebaki.
Suala si kwamba kama nabisha au sibishi,suala ni hoja ya msingi ya kusema hakuna Mungu ni ipi?Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Wewe unayemkubali Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, ambaye anawaziba watu mioyo, macho na masikio wasimjue, kisha anawahukumu kwa kutomjua, licha yavukweli kwamba hawakuwa na uwezo wa kumhua baada ya yeye huyo Mungu kuwafunga hivyo, ndiye usiyeijua haki.Inaonekana hujui haki bali hata sifa zake huzijui. Unakielewa ulicho kiandika ?
Huu mfano hauhusiani wala kuwiana sawia na wa Mola muumba.Wewe unayemkubali Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote, ambaye anawaziba watu mioyo, macho na masikio wasimjue, kisha anawahukumu kwa kutomjua, licha yavukweli kwamba hawakuwa na uwezo wa kumhua baada ya yeye huyo Mungu kuwafunga hivyo, ndiye usiyeijua haki.
Ni sawa na wewe baba umkataze mwanao kujifunza kusoma, asiende shuke wala kupata mtu wa kumfundisha kusoma.
Halafu akiwa mkubwa, akiwa hajui kusoma, useme unamhukumu kwa sababu hajui kusoma.
Only worse.
Hakuna Mungu kama vile ambavyo hakuna pembetatu duara katika Euclidean geometry planes.Suala si kwamba kama nabisha au sibishi,suala ni hoja ya msingi ya kusema hakuna Mungu ni ipi?
Usilete habari za kubisha au kutokubisha hapa.
Mungu hayupo kwa hiyo kufuru haina mantiki kwake yeye amekuonyesha makosa ya mungu wenu unatakiwa uyapinge au umkosoe kwa hoja na si kuanza leta mahubiri
"O mankind we have created you from a male and female and made you into nations and tribes ,that you may know one another, verily the most honoured in the sight of Allah is that who has at taqwa, verily Allah is All knowing ,All aware" (Al hujuraat :13)
👆🏻Hapo hakuna cha, muarabu, muhindi, mswahili,mpemba,mzungu nk, Ubora wako ni "Taqwa" tu.
🍒Huyo ndiye Allah mtukufu🍒
😁😁😁😁 Astro noma sanaaa.
Mungu hayupo kwa hiyo kufuru haina mantiki kwake yeye amekuonyesha makosa ya mungu wenu unatakiwa uyapinge au umkosoe kwa hoja na si kuanza leta mahubiri
Hakuna Mungu kama vile ambavyo hakuna pembetatu duara katika Euclidean geometry planes.
Dhana ya kuwapo Mungu ina contradiction kama dhana ya kuwepo pembetatu duara hiyo.
Don't make me curse you out, you know this already
We have been on this a thousand times before.
You are just a stubborn mule.
Bro hivi huwa unajisikiaje kuongea UONGO ?
Ili maneno yako yawe ya kweli naomba unitajie nabii yoyote mzungu au mchina au asiyekuwa muisrael au muaarabu
Ukinitajia nitakubali kama mungu yupo na tena hana ubaguzi
Dhana ya kwamba ulimwengu huu wenye kuweza kuwa na mabaya umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction.Contradiction is the act of saying something that is opposite or very different in meaning to something else
: a difference or disagreement between two things which means that both cannot be true.
Ikiwa hiyo ndio maana contradiction,je wewe hilo hitimisho la kuwa hakuna Mungu umelipata vp?