Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Hoja gani hiyo isiyokuwa na mashiko!!π€π€.
Kwani ni lazima mitume wanapokuja wakubaliwe??, sasa kama matendo ya hao saudia na Israel ndiyo kigezo kwamba hakuna Mungu, utasemaje kuhusu nchi zile ambazo kuna matendo mema, Mungu yupo??!!.
Si hilo tu, pia unaweza kuhoji:- kama hao Saudia na Israel walifikiwa na mitume na hali zao ndiyo hizo, vipi kama wasingefikiwa kabisa na mitume hali yao ingekuwaje??!ππ
Siku zote Mkanusha Mungu hawezi kuwa na hoja za kimantiki.
Hahaaaaa faza kaharibu katuachia siye misala swali dogo tu we ni mzazi mtoto kakukosea je unauwezo wakutoa laana ambayo itagharimu kizazi hadi kizazi? Hapo inamaana sisi waafrika tuna misala miwili ya aina hiyo kulingana na vitabu vya diniWatakuambia ni uzao wa Cain ulio kuwa unamchungulia mzazi wake akawapa laana "kuanzia leo wewe na uzao wako mtakuwa weusi"
Hahahahaha ina maana ile laana bado inatutafuna sasa kwanini nijishughulishe kuamini katika mungu huku nikijua mwisho wa siku nitaingia motoni kwa ile laana ya mshua?
Ogopa sana huo moto tutakao chomwa black people if kweli jehanamu ipo alafu ukibatizwa unaambiwa wanafuta dhambi ya asili kutoka kwa Adam na eve sijui hiyo ya cain inasahaulika kwanini kweli wazungu walijua kutudanganyaHahaaaaa faza kaharibu katuachia siye misala swali dogo tu we ni mzazi mtoto kakukosea je unauwezo wakutoa laana ambayo itagharimu kizazi hadi kizazi? Hapo inamaana sisi waafrika tuna misala miwili ya aina hiyo kulingana na vitabu vya dini
1.dhambi ya kurithi kutoka kwa adam&eve
2.dhambi tuliyorihi kutoka kwa cain[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaha hizi ni janja janja tu wanatuongopea et israel ni taifa teule kila siku tunaskia wanatupa makombora kushambulia nchi nyingine na wakat huo biblia imekataza vitaOgopa sana huo moto tutakao chomwa black people if kweli jehanamu ipo alafu ukibatizwa unaambiwa wanafuta dhambi ya asili kutoka kwa Adam na eve sijui hiyo ya cain inasahaulika kwanini kweli wazungu walijua kutudanganya
Taifa teule linasapotu ushoga badala wao wangekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengineHahahaha hizi ni janja janja tu wanatuongopea et israel ni taifa teule kila siku tunaskia wanatupa makombora kushambulia nchi nyingine na wakat huo biblia imekataza vita
Wafia dini watapinga hii hojaTaifa teule linasapotu ushoga badala wao wangekuwa mfano wa kuigwa kwa mataifa mengine
"LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume
Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"
Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama
Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii
Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi
Je wanatufundisha nini sisi wengine?
Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM
Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua
Kwanini liwe kabila tukufu?
Huo utukukufu katoa nani?
Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?
Huyo mke alitokea wapi wakati ndo kwanza Adam na eve ndo walikua wame mzaa yeye cain na nduguye au kulikuwa na watu wengine tayari lakini mungu mtu wake wa kwanza ni Adamu?
Leo mnifanye niamini uwepo wa mungu msitake kuingia peponi pekee yenu....
Bado majibu na mifano yako ni mepesi kiasi hata hayajajibu hoja ya mtoa mada
Mpaka leo naamini hivi tajiri anaeponda kila aina ya raha na yeye nitachomwa nae moto if wote tumetenda dhambi duniani
Kama mungu yupo kwanini akawa mwenye upendeleo hivi huku duniani
Yaani mimi nizaliwe na masikini alafu mwingine azaliwe na tajiri
Tusome wote tufaulu sawa lakini mimi nitafute kazi bila mafanikio alafu wewe upate kirahisi
Nikiwaza hapa ndo naona kabisa kama kweli mungu yupo basi hakuna moto wa jehanamu na kama moto upo
Basi mungu si mwenye huruma, upendo na, mtenda haki.
Ogopa sana huo moto tutakao chomwa black people if kweli jehanamu ipo alafu ukibatizwa unaambiwa wanafuta dhambi ya asili kutoka kwa Adam na eve sijui hiyo ya cain inasahaulika kwanini kweli wazungu walijua kutudanganya
Kaka sio Hulamaa ni Ulamaa."LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume
Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"
Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama
Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii
Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi
Je wanatufundisha nini sisi wengine?
Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM
Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua
Kwanini liwe kabila tukufu?
Huo utukukufu katoa nani?
Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?
Kaka naona unalalamika tu,jaribu kujenga hoja za kielimu bro. Kisha nakupa hii faida,miji mitukufu haiwatakasi watu bro,yaani haiwafanyi watu wakawa watukufu."LAQAD KAANA LAKUM FII RASULI LLAHI USUWATUN HASSANA" Hakika mnacho kiigizo chema juu ya mtume
Pia mtume anasema "AL ULAAMAU WARATHATUL ANBIYAAI"
Namaanisha wewe ukiwa muislam lazima uige tabia za mtume na kwa kuwa mtume hayupo amekufa na waliorithi tabia ni Hulaama
Na hulaamaa wengi wanatoka Katika nchi za kiarabu mfano imam Maliki imam Shafii
Sasa kama hizo nchi za kiarabu wanaotoka hao hulaamaa karibu zote ni vita na vurugu zimejaaa ubaguzi
Je wanatufundisha nini sisi wengine?
Ukisoma siraatul nabawiya muandishi anasema ASHRAF QABILA FII MAKKAT MUKRAAM
Me mbona kabila lako halikutajwa tena wenyewe wanalisifia kabila tukufu ni lao hapo mnafata utamaduni bila ya wenyewe kujua
Kwanini liwe kabila tukufu?
Huo utukukufu katoa nani?
Yaan kila kitu kizuri kipo kwao miji mizuri ipo kwao,Hata makabila pia kuna utukufu huyo mungu anatufundisha nn sisi wengine kama kila kizuri kipo huko?
Sasa mbona mnakuwa mnajiongelea tu vitu ilimradi mmeongea tu. Mnasema Mungu hayupo na ndio maana mnakuja kutuuliza sisi maswali halafu hapohapo mnasema mbona Mungu hajibu mwenyewe maswali!!!Hoja zenu zinaonyesha wazi mungu hayupo
Aliyetoa nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?
Hatuwezi kumuuliza mungu kwakuwa hayupo nyinyi ndio mmemtunga
Wote humu tumezaliwa na kukuta habari za uwepo Mungu na habari za wapinga Mungu,imani ya uwepo wa Mungu inajielezea toka kuumbwa kwa binaadamu na kuja mitume hadi leo hii,na kuna signs nyingi tu za kuonesha kweli kuna Mungu.Leo niambie aliyekupandikizia nadharia ya kuwa kuna mungu ni nani?
Usiniulize na mm nadharia ya kuwa hakuna mungu nimeipata wapi
Jibu mungu hayupo angekuwepo angejidhihirisha duniani
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
π€£π€£ Ama kweli nyani haoni kundule, Wewe wakumkosoa mungu? Kama kakosea kwann wewe usiviepuke? Ushawahi jiuliza kwanini unaamua kuchagua mwanamke wa kumuoa ili muishi pamoja? Na je ugumu uko wapi wewe kuepuka mtoa maada acha kufulu
Mtu anakwambia Mungu yupo.Mungu hayupo kwa hiyo kufuru haina mantiki kwake yeye amekuonyesha makosa ya mungu wenu unatakiwa uyapinge au umkosoe kwa hoja na si kuanza leta mahubiri
Mtu anakwambia Mungu yupo.
Kashusha kitabu chake hiki hapa.
Unakisoma, unakuta kwenye kitabu kumeandikwa Mungu ni mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Ana rehema kuu. Ni mwingi wa neema.
Halafu kitabu hicho hicho kinakwambia kuna watu Mungu huyo huyo kawafunga mioyo, macho na masikio wasimjue. Na kisha hapo atawahukumu kwa kutomjua.
Sasa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, upendo wote, mwingi wa neema na rehema, anaanza anzaje kuwafunga mioyo, masikio na roho viumbe wake dhaifu ili wasimjue?
Na wasipomjua, kosa ni la nani hapo?
Ni la hao viumbe dhaifu ambao hawajamjua Mungu kwa sababu Mungu kawafunga mioyo, macho na masikio?
Au ni la Mungu aliyewafunga hivyo?
Huyo Mungu yupo kweli? Au ni story tu?