Hope you 've got to know the function of eyebrows something you didn't, now accept defeat passively and take precaution never to enter mental battlefield with an empty mind, meanwhile expand your biological faculty!!!About what?
I need nothing to prove God's right more than the Bible so maybe you.
Duh seems like this language challenges.Hope you 've got to know the function of eyebrows something you didn't, now accept defeat passively and take precaution never to enter mental battlefield with an empty mind, meanwhile expand your biological faculty!!!
Hakuna uchawi kwa maana ya supernatural forces.pamoja mkuu kiranga. ila swali ni je hivi wachawi wapo? hizi imani za kishirikina zipoje wakuu. maana kuna mama mmoja ni mganga wa jadi. nilikwenda kwake nikamwambia nataka kuacha pombe. kabla ya kunipa dawa akasema amenipima ameona nimerogwa na kuanza kueleza maisha yangu ya nyuma mfano mikoa niliyoishi, ndugu, matembezi nk. je alijuaje?? ingawa sikujali sana hayo mwisho alinipa dawa ya miti unachemsha unakunywa basi sijanywa tena pombe tangu siku ile nilishaacha.
kinisumbuacho ni je ni uchawi au uganga wa majini au Mungu??? ufafanuzi kama unaelimu hii bwana kiranga
Mkuu umeandika post nzur kabisa.. Ila kuliko kumlaani kijana kwa nini usimpe darsa la maswali aliouliza??utakua nacho cha kujibu mbele ya allah siku ya kiama ili ujue kama ulipost ili upate sifa lakini leo hii wewe mzima na umekamilika unasema mungu ana makosa je ungelikua kiwete au kipofu mungu kawa nyima wote kakupa wewe leo hii unakua wa kwanza wewe kusema hivi
leo hii wewe una nguvu hata kutembea kumbuka kuna watu wanapambana na malakul maut wanatolewa roho zao wewe una nini mpaka ukaishi kwa umli ulionao kuna watu wana ukoma hata simu kushika hawa wezi leo hii wewe upo nyuma ya keybord yako eti mungu kafanya makosa kumi!! subhanaallah!!
mungu kakupa akili kakupa ufahamu wewe kaacha kumpa akili ng'ombe kakupa wewe je angepewa mnyama akili unafikili ni kwa namna gani ange kufulu
"yaa rabhi unioni ninavyopata taabu yaa rabi binadamu wananichinja"
wanyama wangekufulu sana lakini mungu kampa akili mnyama kua vile anavyo chinjwa ndo ibada yake
sasa wewe mwenye uwezo wa kujua jema na baya tamu na chungu wasema mungu ana makosa
LAANA TULALLAH!!!
Duuh kumbe shetani alitokea tu mwenyewe...Nani amekudanganya kuwa Mungu aliwahi kumuumba shetani?
Mungu alimuumba akiwa malaika mzuri sana kuliko wote. Unapesema aliumba shetani Ni sawa na kusema Tanganyika ilipata uhuru 1961.Duuh kumbe shetani alitokea tu mwenyewe...
Hapo sawa kabisa.. Mimi binafsi ni muumin wa dini ya kikristo.Mungu alimuumba akiwa malaika mzuri sana kuliko wote. Unapesema aliumba shetani Ni sawa na kusema Tanganyika ilipata uhuru 1961.
Kutafutia stimu wakati wa kufanya naniliu...
...
...
...
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???