Kutokuona viashiria inakufanya wewe kutoamini Mungu kwa sababu haujaona cha kukufanya uamini,lakini wewe unasema hayupo yani unapinga dhana ya kuwepo kwake.Napinga hayupo kwakuwa sioni viashiria vya kuwepo kwake
Na wewe kwanini unakubali yupo?
Ndio maana yake. Nilisema wakati fulani huyu Mungu anaelezwa kwa vitu na hali. Yeye mwenyewe hawezi kusimama na akajitambulisha. Mtu akiona milima umekaaje, kweli Mungu wa ajabu. Sijui mchanga unahama kutoka sehemu moja kwenda nyingine, Mungu wa ajabu.Mtu ametibiwa hospitalini akapona, Mungu mkubwa! Mungu anayelezwa na kutambuliwa kupitia vitu na hali ni sawa na kusema hakuna huo Mungu, Bali hivyo vitu na hizi hali.Lakini kiukweli na kimantiki, kifo kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, haki yote na upendo wote hayupo.
Dhana ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ina contradiction.Kutokuona viashiria inakufanya wewe kutoamini Mungu kwa sababu haujaona cha kukufanya uamini,lakini wewe unasema hayupo yani unapinga dhana ya kuwepo kwake.
Mfano chanzo cha huu ulimwengu ni moja kiashiria cha imani ya uwepo wa Mungu,kwa hivyo unapopinga dhana ya uwepo wa Mungu unakuwa unapinga vitu kama hivyo.
Suala la kifo lina maelezo yake kwenye mafundisho ya dini,hivyo sio kwamba kwa sababu tunakufa tu ndio watu wakahusisha na Mungu.Kifo ni moja ya hali inayowafanya watu kuamini kuwa kuna Mungu. Na hususani hali ya kutokujua mtu anakufa link. Ndio maana wanasema ni Dumbo, hatujui simu wala saa. Mungu pekee ndiye anayejua.
Mimi nazungumzia dhana ya kuwepo Mungu,sasa wewe hayo ya uwezo wote na upendo umeyatoa wapi? Kama huna jipya la kueleza ni bora unipotezee kuliko kujadilina na mtu aliyekariri maelezo kama robot.Dhana ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ina contradiction.
Contradiction hi hujaweza kuitatua.
Contradiction hii inaonesha Mungu huyo ni hadithi tu, hayupo kiuhalisia.
Mungu gani? Huyo mwenye sifa hizo unakubali hayupo? Huyo unayemsema wewe ana sifa gani?Mimi nazungumzia dhana ya kuwepo Mungu,sasa wewe hayo ya uwezo wote na upendo umeyatoa wapi? Kama huna jipya la kueleza ni bora unipotezee kuliko kujadilina na aliyekariri maelezo hayohayo siku zote.
Sipo hapa kujadili sifa za Mungu na mtu ambaye anasema hakuna kabisa Mungu.Mungu gani? Huyo mwenye sifa hizo unakubali hayupo? Huyo unayemsema wewe ana sifa gani?
Siyo hupo hapa kujadili.Sipo hapa kujadili sifa za Mungu na mtu ambaye anasema hakuna kabisa Mungu.
OkSiyo hupo hapa kujadili.
Huwezi kujadili.
Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Ni hadithi zilizotungwa na watu tu.
Huwezi kuthibitisha yupo wala kujadili.
Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.Suala la kifo lina maelezo yake kwenye mafundisho ya dini,hivyo sio kwamba kwa sababu tunakufa tu ndio watu wakahusisha na Mungu.
Thibitisha kwamba Mungu hayupo.Nimeshatoa naona ama hujaielewa au hujaikubali.
Hivyo inabidi nikuulize, nijue vipimo vyako, kabla ya kukujibu.
Isije kuwa wewe unasema nikupe gunia la mkaa, katika mawazo yako gunia ni lile la kilo 100 tu, nikakupa la kilo 50, ukasema hili si gunia, ni nusu gunia.
Logic itakayokuonesha mpaka ukubali kwamba hakuna Mungu inatakiwa iweje?
Kivipi?Lakini kiukweli na kimantiki, kifo kinaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, haki yote na upendo wote hayupo.
Onesha hiyo ContradictionDhana ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ina contradiction.
Contradiction hi hujaweza kuitatua.
Contradiction hii inaonesha Mungu huyo ni hadithi tu, hayupo kiuhalisia.
Kutokuona viashiria inakufanya wewe kutoamini Mungu kwa sababu haujaona cha kukufanya uamini,lakini wewe unasema hayupo yani unapinga dhana ya kuwepo kwake.
Mfano chanzo cha huu ulimwengu ni moja kiashiria cha imani ya uwepo wa Mungu,kwa hivyo unapopinga dhana ya uwepo wa Mungu unakuwa unapinga vitu kama hivyo.
Kwanza uanelewa contradiction ninini na kwa nini ni muhimu hapa?Onesha hiyo Contradiction
Kwa sababu Mungu mwenye uwezo huo, ujuzi huo na upendo huo asingeumba ulimwengu ambao kifo kinachowakatili viumbe wake dhaifu, kinachowatenganisha wanaopendana kama mama na mtoto, mke na mume, kiwezekane.Kivipi?
Haujajibu swali,najua kuwa wewe hauamini Mungu ila nataka kufahamu kwaninia umejuaje kuwa hayupo?Mimi nimekujibu swali ila wewe unataka kulikwepa
Na wewe unakubali mungu yupo? na unatumia njia gani kumjua kama yupo?
Wewe nawe hujajibu swali lakuthibitisha Mungu yupo.Haujajibu swali,najua kuwa wewe hauamini Mungu ila nataka kufahamu kwaninia umejuaje kuwa hayupo?
Kwa sababu wapo watu kama nyie ambao hawaamini Mungu ila wao hawasemi kuwa yupo wala hayupo,ila nyie mnasema Mungu hayupo ndio nataka kujua mmejuaje?
Kwa hiyo ili Mungu uamini kwamba yupo ni lazima watu wasife sio?Kwa sababu Mungu mwenye uwezo huo, ujuzi huo na upendo huo asingeumba ulimwengu ambao kifo kinachowakatili viumbe wake dhaifu, kinachowatenganisha wanaopendana kama mama na mtoto, mke na mume, kiwezekane.
Kifo kuwezekana ni ushahidi Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, angeumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo.