Oltung'anyi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 284
- 197
Ni ukomo wa kufikiri kwa sababu tunaona changamoto tunazokutana nazo zinatatuliwa kirahisi mno na imani ya Mungu. Mtu anaumwa Ukimwi, badala ya kutumia sawa, anatumia maombi. Mtu anahitaji kuongezewa damu anakataa akiamini atapona.Unasema msingi wa dhana ya Mungu ni ukomo wetu wa kufikiri.
Una maanisha nini unaposema ukomo wetu wa kufikiri?
Huwezi kuelezea hali ya kutokuwepo hadi uwepo. Sikuwepo, siwezi kuelezea hali yangu ya kutokuwepo. Hakukuwa na kilichokuwepo. Haya ninayasema kwa kuwa nipo. Ndio maana ninasema, uwepo ndio msingi wa kila kitu. Ndio mwanzo wa kila kitu.Ndiyo maana nikauliza unaweza kuelezea uzoefu wako wa kutokuwepo ulikuaje?
Kaka wewe ndio huujui muda. Kabla sijajibu swali lako,nataka ukiri ya kuwa wewe na wa mfano wako ndio huujui muda.
Ukikiri hilo,mimi nakuja na faida kadhaa kuhusu muda.
Bro nilikukanya kuhusu huu mtindo wa kuandika aya za Qur'an kinyume na asili yake,jambo hili lina chukiza sana na linaondoa asili bali hata maana ya aya.
Sasa makinika kwalo,ili usizidi kukosea.
Inakuwa ngumu mtu kukuelewa mkuu ikiwa hujavunja hoja za misingi ya hiyo dhana,ukiishia tu kupinga yale yenye kuelezwa kuhusu Mungu bila kupinga msingi wenyewe wa hiyo dhana inakuwa sawa na bure.
Wewe ni matokeo ya kuungana kwa Mungu ya mwanaume na yai la mwanamke. Kumbuka haya kutokea lazima kuwepo na uwepo (mwanaume hai na mwanamke hai). Kwa hivyo wewe ni zao la uwepo ambao huo uwepo haupo pia bila wewe kuwepo. Sijui unanielewa au ninakuchanganya?Bro hujatoa bado uthibitisho.
Ukisema hivyo swali linakuja,mimi nimetoka wapi ikiwa hapo kabla sikuwepo ?
Nasubiri jibu.
Ushasema hauwezi kuelezea hali ya kutokuwepo kwa sababu haukuwepo,halafu tena hapo hapo unatueleza kuwa hakukuwa na chochote wakati ulipokuwa haupo!Huwezi kuelezea hali ya kutokuwepo hadi uwepo. Sikuwepo, siwezi kuelezea hali yangu ya kutokuwepo. Hakukuwa na kilichokuwepo. Haya ninayasema kwa kuwa nipo. Ndio maana ninasema, uwepo ndio msingi wa kila kitu. Ndio mwanzo wa kila kitu.
Bado ninauliza, kabla ya kuwepo kwako, na fikiria kama hadi sasa ungekuwa haupo, kipi haswa kingekuwepo?
Ila unafahamu hivyo baadae ya wewe kuwepo. Ukijua hill kabla ya kuwepo kwako na fikiria kama hadi sasa usingekuwepo, unaweza kueleza ni kipi haswa kingekuwepo.Ushasema hauwezi kuelezea hali ya kutokuwepo kwa sababu haukuwepo,halafu tena hapo hapo unatueleza kuwa hakukuwa na chochote wakati ulipokuwa haupo!
Hivi hauoni unavyojichanganya?
Kwa uzowefu wangu wa kuwepo ni kwamba uwepo wangu ni matokeo ya vilivyokuwepo kabla ya uwepo wangu, kwa maana kama kungekuwa hakuna kitu basi isingetokea mie kuwepo.
Na hapo ndiyo penye tatizo,mie nazungumzia kwanza ile fikra ya kukubali kuwepo Mungu maana bila ya kuelewana hapa huko mbele kwenye Mungu gani hatuelewana.Naona mnashindwa kujibu maswali labda nikuulize huyo mungu unayomuongelea wewe yupo ni mungu gani?
Nimeeleza wazi kuwa haya yote yanawezekana kwa kuwa nipo. Nisingekuwepo hata hali yenyewe ya kujichanganya isingekuwepo. Unanielewa lakini?Ushasema hauwezi kuelezea hali ya kutokuwepo kwa sababu haukuwepo,halafu tena hapo hapo unatueleza kuwa hakukuwa na chochote wakati ulipokuwa haupo!
Hivi hauoni unavyojichanganya?
Kwa uzowefu wangu wa kuwepo ni kwamba uwepo wangu ni matokeo ya vilivyokuwepo kabla ya uwepo wangu, kwa maana kama kungekuwa hakuna kitu basi isingetokea mie kuwepo.
Nimeeleza kuwa uwepo wangu hapa umenifanya nijue kuwa kabla ya mimi kuwepo kuna vilivyokuwepo kabla ya uwepo wangu,hivyo uwepo wangu umefanya nijue kuwa kuna vilivyokuwepo kabla yangu na si kwamba uwepo wangu ndiyo umesababisha kuwepo hivyo vitu. Kwahiyo hauwezi kusema Mungu hayupo kiukweli basi hata haya maisha pia hayapo kiukweli na hivyo haina haja ya kuyathamini.Ila unafahamu hivyo baadae ya wewe kuwepo. Ukijua hill kabla ya kuwepo kwako na fikiria kama hadi sasa usingekuwepo, unaweza kueleza ni kipi haswa kingekuwepo.
Ndugu, ninachopenda kusisitiza hapa ni kuwa, hakuna Mungu wa kweli kama hali ya kuwepo. Ndio maana tunapaswa kuthamini maisha/ uhai kuliko tunavyomthamini huyo Mungu.
Ni ujinga mtupu kujitoa uhai kwa sababu ya kumtetea Mungu. Ndio maana ni rahisi mno mtu kumchukulia hatua mbaya sana mwenzake kwa kuwa ameonesha kumdhihaki Mungu wake ila mtu akimtendea mwenzake jambo baya, kama vile kumtukana au kumpiga, watu wanaweza kuona ni jambo la kawaida. Tuna tafsiri potofu mno ya huyu Mungu.
Ndio maana wachawi ndio wapo mstari wa mbele kwenye nyumba za ibada. Wanandoa ndani hawapatani lakini hakuna simu wanaacha kwenda ibadani. Watu wsnauana, wanatukanana n.k
Hebu fikiria ikiwa thamani anayopewa huyo Mungu, wangekuwa wanapewa bidamu, maisha yangekuwa salama kiasi gani?
Tujipe muda wa kumtafakari ndugu.
Hili jambo zito sana kwako.Nimeeleza wazi kuwa haya yote yanawezekana kwa kuwa nipo. Nisingekuwepo hata hali yenyewe ya kujichanganya isingekuwepo. Unanielewa lakini?
Watu wengine wapo kwa kuwa wewe upo. Bado tena ninakuuliza, katika hali yako ya kutokuwepo na fikiria kama hadi sasa usingekuwepo, kipi kwako kingekuwepo? Wazazi wako? Miti, majumba, magari, Mungu?
Hayo yote uliyoyaelezea sio msingi wa imani ya uwepo wa Mungu,hayo yote yanakuja baada ya kukubali fikra ya kuwepo Mungu.Ni ukomo wa kufikiri kwa sababu tunaona changamoto tunazokutana nazo zinatatuliwa kirahisi mno na imani ya Mungu. Mtu anaumwa Ukimwi, badala ya kutumia sawa, anatumia maombi. Mtu anahitaji kuongezewa damu anakataa akiamini atapona.
Uzembe wa kujaza kivuko kupitia kiasi kukapelekea watu kupoteza maisha, tunasema ni mipango ya Mungu. Huoni kuwa tumeamua kuacha kutumia akili na tumejipa majibu rahisi ambayo kimsingi hayana maana yoyote? Huoni tupo utumwani ndugu?
Unafikiri ni kwa nini tumepewa utashi? Tukariri tu maandiko na kuyatumia kama yalivyo? Hatuhoji! Huyo Mungu kama alitupa akili, ya kasi gani? Kwa mini tunafurahia teknolojia za simu au magari kwa mfano lakini linapokuja suala LA kuongezewa damu kama sehemu ya Tina iwe imani inakataza?
Muulize ndugu anayesema wanaomkataa Mungu hawana akili, haya wanayoyafanya ndio akili with these double standards?
Hakuna anayekataa haya usemayo. Ila, namna watu wanavyotumia dhana ya Mungu ndio kuna shida kubwa. Ni utumwa mtakatifu.Hayo yote uliyoyaelezea sio msingi wa imani ya uwepo wa Mungu,hayo yote yanakuja baada ya kukubali fikra ya kuwepo Mungu.
Ndiyo maana kuna dini tofauti zenye mafundisho tofauti yakiwemo hayo uliyoeleza ila wote wanakubaliana kuwepo Mungu.
Wewe ni matokeo ya kuungana kwa Mungu ya mwanaume na yai la mwanamke. Kumbuka haya kutokea lazima kuwepo na uwepo (mwanaume hai na mwanamke hai). Kwa hivyo wewe ni zao la uwepo ambao huo uwepo haupo pia bila wewe kuwepo. Sijui unanielewa au ninakuchanganya?
Mama mjamzito hawezi kuitwa mjamzito bila kubeba mimba. Hakuna kuitwa baba fulani (mzazi) bila kuwa na mtoto. Na mtoto husika usipokuwepo, hakuna wazazi na hawajawahi kuwepo na hawatakaa wawepo. Labda simu mtoto akiwepo.
Kwanini unalazimisha maneno ya mungu yaandikwe kiarabu?
Kwani mungu mwaarabu?
Au huyo mungu wako hajui lugha nyingine zaidi ya kiarabu?
Tuanzie hapa, umesema "Mungu wa haki asingeumba hivyo" mpaka hapa umeonesha kwamba kuna Mungu wa haki yupo ila huyu tunayemuabudu sisi si wa haki, tuambie sasa huyu wa haki unayemjua wewe ana sifa zipi ?Hapa hujathibitisha Mungu yupo, umeandika tu Mungu hatumuoni.
Sijaomba unioneshe Mungu kwa macho, nimekutaka uthibitishe Mungu yupo.
Hapa umefanya tamko ambalo halijatakiwa na wala halina sababu, kwa kuwa hakuna chochote nilichoandika kilichotaka unioneshe Mungu, kwa kifupi, umeandika kitu irrelevant.
Kama ungepewa idadi maalum ya maneno ya kutumia kunithibitishia Mungu yupo, ungeipunguza idadi hiyo kwa maneno hayo 19 ya juu bila sababu.
.
Hii ni abracadabra tu, matumizi ya kwanza ya akili ni yapi? Unayajuaje haya ni ya kwanza? Unatumia nini kujua matumizi ya kwanza ya akili? Yanayakinishaje kuwepo kwa Mungu na sifa zake? Sifa gani? Unajuaje yanayakinisha kuwepo kwa Mungu tu na si kitu kingine chochote?
Qquran ina contradictions kibao, unajua hilo? Unajua kwamba kitabu kilichojaa contradictions hakiwezi kuangaliwa kama kitabu kinachoweza kutuambia ukweli kuhusu uwepo wa Mungu?
Hujathibitisha Mungu yupo, unahubiri kutoka kitabu kilichojaa uongo na contradictions.
Huu si uthibitisho kwamba Mungu yupo, unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nina shaka kama hata unaelewa uthibitisho ni nini.
Allah angekuwepo asingewanyima wanayama akili za kujua mambo mengi, wakafanywa watumwa wa watu.
Wwanyama kuwa hivyo si haki, Mungu wa haki asingeumba hivyo.
Kuwepo kwa tofauti hii ni uthibitisho kwamba Allah hayupo, ni hadithi tu.
Tatizo lako kubwa unataka kumjua Mungu kupitia theories za wana sayansi ambao kimsingi na wao pia ni binadamu kama wewe.Unarudia rudia tu maswali yale yale, tushajadili haya.
Awali kabisa, uthibitisho ni lazima uweze kupimika. Usipoweza kupimika hauwezi kuwa uthibitisho.
Pili, uthibitisho ni lazima uwe logically consistent. Sio uthibitisho hauna logical consistency. Sio nakuuliza kuthibitisha kwa njia inayoweza kuwa falsified, wewe unahubiri kwa ushairi vague ambao hausemi lolote linaloweza kuwa fasified.
Tatu, uthibitisho ni lazima usiwe self contradictory, usiwe na elements zinazojipinga zenyewe. Sio tunathibitisha wewe umeoa, unaniambia umeoa, halafu hapo hapo unniambia wewe ni bachelor huna mke.This is a special case of lacking logical consistency.
Nne, uthibitisho ni lazima uweze kutabiri vitu specific, kwamba vitatokea mbeleni, katika muda specificna realistic, kwa namna specific,vinayoweza kupimwa, katika maisha yetu haya na si habari za baada ya kufa ambako hatujui hata kama tutaweza kupima chochote.
Tano, uthibitisho ni lazima uwe na ushahidi usiopingika kimantiki katika fremu yenye kukubalika na pande zote. Sio unathibitisha mambo kwa mistari ya Quran, wakati Quran yenyewe kwangu ni kitabu chenye makosa mengi sana ya kujipinga chenyewe.
Hayo ni machache tu kwa sas.
Kwa hiyo una kataa uwepo wa Mungu kisa watu wanakufa?Ndugu jipe muda angalao dakika moja kuwaza wakati mgumu waliopitia watu waliozama na kivuko huko Ziwa Victoria. Hakuna Mungu mkatili kiasi hicho. Eti tunasema ni mapenzi ya Mungu. Dhana ya Mungu ni ukomo tu wa kufikiri. Hakuna kitu Mungu ndugu, ni dhana inayowakilisha fikra za watu tu.
Mungu anayesujudiwa hapaswi kuwa mkatili namna hiyo. Watu 200 wanakufa kwenye ajali ya ndege. Is God doing organised deaths to save time? Haiingii akilini. Hakuna kitu Mungu ambacho watu wanajenga picha kipo mahali fulani kinaratibu maisha ya kila kiumbe. Hakuna. Ni kwa kuwa tu tumejipa ukomo wa kufikiri.