Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Akili zako zimejaa pumba tupu, mimi ni mpiga kura wa Segerea na nimeisubiri hii kesi kwa hamu kubwa na sitegemei updates yoyote kutoka JF kwa sababu hukumu tayari ninayo na nimeshaisoma, niko hapa just for fun.
Ila kinachonishangaza sijui siku hizi baadhi ya Member humu wanawashwa na kitu gani? hivi ikitangazwa kwamba atakayeleta Breaking news atakuwa analipwa pesa si itakuwa balaa humu? nachukizwa sana na style hii kimbelefront.
wewe kweli kaza msuli. mwanaasha saizi yako.