Makonda

Roho inaniumiiii jama. Sijui nilie......hivi hawa vichaa wanaokwenda kwa jina la fataki tuwafanye nini maana sasa ni too much.
 
Kuna jamaa mmoja aliniambia mabinti huwa wanapenda wanaume wa ajabu ajabu, vinyozi, marasta, makonda na vijana wachafu wachafu wa vijiweni, sijui wanawapa mapigo ya ukakika zaidi kule wale wastaarabu maana wanawashobokea kwelikweli! Utakuta kabinti kameganda saluni masaa hata hakanyolewi mmmh...............

Nimekumbuka story ya mama mmoja humu aliomba ushauri wa namna ya kuepuka kumtamani kingono kichaa mmoja aliyeishi kwenye gofu karibu na njia aliyopita kila siku kuelekea kazini kwake,
ni shida!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom