Makonda: Walimu kusafiri bure

Makonda: Walimu kusafiri bure

Hebu afikiri critically. Hivi walimu wanachohitaji ni kulipiwa mia nne za nauli kweli? Amwambie mkurugenzi wake wa manispaa awalipe walimu wake madai yao ya likizo za dec 2013 na 2014 hadi dec 2015. Aanzishe miradi ya ujenzi wa nyumba za walimu aachane na madarasa na madawati na hilo ndio suluhu ya kuwahi kazini. Aache kufikiri kiduchu.
Kuna watu mnaishi kwakukariri kupondea kila kitu
 
D
Kama namuona vile Mwalimu Nanaa anavyozuiwa kupanda daladala hadi lijae kwanza!!!
Du!
Wanafunzi wawili na walimu wawili tu nndio mwingie ndani alafu msimame mwapishe wenye fedha zao wakae"

Kama namwona kinda akichonga vile
 
Sasa naona hii nchi inakoelekea siko. Serikali isiwatupie mizigo watu wengine ikubali tu kubirwsha maslahi ya waalim, inakuwaje maombi yao hayasikilizwi na badala yake wanaletewa ambayo hawajuwahi hata kutamani!!
Mwanafunzi tu anayelipa nusu nauli anasafiri kwa mbindw na purukushani itajuwa mwalimu anayesafiri bure?
Serikali ijikite katika kutatua matatizo ya kimsingi iachane na hizo cheap drama ambazo zitaishia kuleta sintofahamu.
 
Mkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini "kama njia ya kuwasaidia kuwahi" na pia "kuwapunguzia makali ya maisha".


Alaaa kumbe kutoa walet mfukoni na klipa nauli kunawanachelewa waalimu kuwahi kazini? Halafu mbona waalimu mnawafanya kama walemavu fulani?
 
Hakuna DC Anayeijua Kazi Yake Na Kubobea Kama Paul Makonda. Hongera Kwa Kusaidia Walimu WETU.
 
...mtafanyaje ili kondakta aridhike kumsafirisha mwalimu bure? na kwa nini manesi nao wasisafiri bure?, kwani wao hawana umuhimu kwenye jamii? na kwa nini mtu mwenye mshahara asafiri bure?,na kwa nini isiwe wanafunzi ndio wasafiri bure?
Mbona mishahara inatofautiana pakubwa tu!!!?kama umuhimu wao unafanana basi wawalipe mishahara sawa,sio mwalimu mwenye degree anaanza na laki saba,mwingine mwenye elimu sawa na mwalimu anaanza na laki tisa,hapo usawa uko wapi!!!?
 
Mheshimiwa Makonda, baba yangu koplo Chacha wa kambi ya Lugalo naye anastaafu mwezi huu, tutakualika uwepo kwenye sherehe ya kumuaga ili uje utoe kauli ma RSM na maSameja nao wawe wanasafiri bure kuwahi master paredi za asubuhi.
 
Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
na daktari nae ni muhimu sana nae asafiri bure,dereva anaweza kupata dharura ya ugonjwa daktari akamhudumia akapata nafuu mkaendelea na safari.

Ila Makonda ni mbunifu na ana nia njema.
 
MPANGO HUU NI WAKUUFUTA KABISA / TAASISI ZIWE NA VYOMBO VYAO VYA USAFIRI! FULL STOP!!/
---->>> WANYONGE WASIO NA KAZI WALA CHOCHOTE WASAFIRI BURE.
 
Mkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.

Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.

Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.

Itakuwa kama hivi
001JAYMILLIONS%2BMAWASILIANO.jpg

2.jpg
 
Kusafiri bureee si sahihi sana.labda kuwaboreshea mishahara
 
Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
vp kuhusu waaguzi na madaktari?
 
Acha hizo baadae na madaktari nk watasafir bure? Hii haiwezekani...... atafute njia mbadala sio hii...
 
vipi kuhusu walimu wa wilaya ya ilala, temeke na bara nao watakuwa katika mpango huo wa makonda au ni kinondoni tuu ndo wahusika?
 
Hakuna DC Anayeijua Kazi Yake Na Kubobea Kama Paul Makonda. Hongera Kwa Kusaidia Walimu WETU.
Amewasaidia nini walimu? Kwanza ni nani aliyemwambia kwamba tatizo kubwa la waalimu ni hizo nauli za daladala? Watu wanafanya kazi muhimu serikali inatakiwa iwape maslahi mazuri kulingana na umuhimu wa kazi wanayofanya. kwanza hakuna mttu anayetaka vitu vya burebure labda wewe kwani bure ni kama udhalilishaji tu. Yeye amekurupuka tu, hana uwezo na mamlaka ya kutoa tamko kama hilo kisha litekelezwe.Amkubushe kwaza Magu ahadi za laptop kwa walimu lini itatekelezwa
 
Back
Top Bottom