Pamoja na Rais kumsifu na kumhakikishia wadhifa siamini kama Makonda anafaa. Anaonekana kudhamiria zaidi kutaka aonekane anafanya kazi badala ya kufanya kazi kwa kadri uwezo wake.
Ukweli ni kuwa viongozi wengi wa kisiasa wa awamu hii wanapenda konekana zaidi kwa kauli zaidi kuliko vitendo. Kila nikiangalia sioni namna baadhi ya sera zao zitakavokuwa na tija. Sasa hili pia la walimu ni.changamoto. Sijui kesho manesi,madaktari na wengineo wakicharuka itakuwaje!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.