Makonda wa kike kiboko ya wanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makonda wa kike kiboko ya wanaume?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mkwakwasu, Mar 30, 2011.

 1. M

  Mkwakwasu Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WanaJF nipeni majibu wapendwa. Siku zote wanaume ni wabishi kwa makonda.lakini juzi nilipanda gari fulani konda alikuwa msichana.Basi wanaume walikuwa watiifu kama vile wanapokea sakramenti kwa padri.Whyyyyyyy?
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145  Inawezekana kabisa kuwa wewe ni mtu wa kwanza kunichekesha katika siku ya leo.Na ninaomba niwe mtu wa kwanza kukupa thanks.
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,016
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haha kweli hiki kichekesho, yawezekana huyo dada na yy alijiheshimu, kwa hiyo wakalazimika kumheshimu pia.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 824
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 80
  sio wapole kwa makonda tu ni kwa wanawake wote. achana na kwenye daladala hata ukiwakuta bar wakiwa wameshalewa pombe zao lakini huwa wanawaheshimu barmaids vibaya mno. kwa wake zao ndiyo usiseme kabisa.
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,810
  Likes Received: 19,315
  Trophy Points: 280
  Kwani ulikuwa hujuwi kiboko ya wanaume ni nani?

  Makonda wa kike, unanikumbusha enzi zetu za DMT na baada ya hapo UDA.
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145  Mkuu unahudhuriaga bar kweli ??
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,040
  Likes Received: 3,798
  Trophy Points: 280
  Makonda wa kike wanajiheshimu, nadhani ndio maana kunakuwa na upole tofauti na makonda wa kiume ambao ni wakorofi!!
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  Thread mbili majukwaa tofauti maana yake?? MMU ipo hii kha!!!!!!!!!!!
   
Loading...