Makonda vs ITV

Kikubwa tunaipongeza ITV kutoitangaza habari za makonda maana wangekosa wateja
 
Hajitambui tu
 
Ana mamlaka gani kunichagulia jinsi ya kufanya manunuzi yangu kwa visenti vayangu nilivyolipwa baada ya kubeba zege?anaumwa huyo siyo bure yaani hata simu sina leo anilazimishe kujiunga na mitandao?
 
Wameona hana umuhimu na habari zake hazina umuhimu mana sio mtu muhimu ni mtu FEKI mpenda SIFA anayelindwa kwa gharama yoyote aendelee kukalia kiti cha ukuu wa mkoa, na ilihali amefoji vyeti lakini watumishi wengine wanafukuzwa na wengine kufungwa jela miaka 20 kwa kughushi vyeti ama shahada
 
Huyo ni wa akina Barbie Kaba na Hassan Mzirahi nao nahisi hawana vyeti.....kwa kifupi hana mvuto katika jamii ya watanzania!!!!
Anayembeba Bashite amfungulie channel yake wawe wanaangaliana wote .....WATANZANIA "BIG NO"kwa kibaka wa vyeti a.k.a Bashite......Kwani ITV ni mahali pa kulia lia?
 
ITV hawarushagi habari zisizokuwa na uhakika.
Kama vipi aende TBC na Clouds
 
Ile sio habari ni uzwazwa tu, utoto na ulimbukeni wa madaraka
 
Kwani habari ya makonda kutokuwa na vyeti waliirusha kama no kwa nini ulalamike kwa hili na sio kwa wote
 
Kutimiza mwaka mmoja nayo ni habari ya kutuambia? ITV songa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…