Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 752
- 798
Waulize walionufaika na misafara yake watakwambia,Vichwa vingine vimejaaa matope tu kichwani. Sasa ninini cha maana Makonda amefanya na hiyo misafara ya kipumbavu?
Swali: Unafikiri wale ote wanaosafiri ktoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ili awasikie changamoto zao unawazidi akili?