Makonda: Sitamsaliti Hayati Magufuli hata niwekewe bastola

Vichwa vingine vimejaaa matope tu kichwani. Sasa ninini cha maana Makonda amefanya na hiyo misafara ya kipumbavu?
Waulize walionufaika na misafara yake watakwambia,

Swali: Unafikiri wale ote wanaosafiri ktoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ili awasikie changamoto zao unawazidi akili?
 
Waulize walionufaika na misafara yake watakwambia,

Swali: Unafikiri wale ote wanaosafiri ktoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ili awasikie changamoto zao unawazidi akili?
Hamna kitu bwana ni usanii mtupu. Alikuja Jimbo la Kawe 3 weeks ago. Akamuahidi Mbunge Askofu Gwajima Makatapila 20 kwa ajili ya kurekebisha barabara zilizoharibika na mvua.

Mpaka leo nipo hapa sijaona katapila hata moja.

Tanzania ni nchi ya wajinga wengi, endeleeni kupumbazwa
 
Hamna kitu bwana ni usanii mtupu. Alikuja Jimbo la Kawe 3 weeks ago. Akamuahidi Mbunge Askofu Gwajima Makatapila 20 kwa ajili ya kurekebisha barabara zilizoharibika na mvua.

Mpaka leo nipo hapa sijaona katapila hata moja.

Tanzania ni nchi ya wajinga wengi, endeleeni kupumbazwa
Sawa
 
Vichwa vingine vimejaaa matope tu kichwani. Sasa ninini cha maana Makonda amefanya na hiyo misafara ya kipumbavu?
Afadhali vilivo jaa matope kuliko chako umejaza mavi kinachokusumbua ni chuki na roho mbaya .
 
Matapeli yasiyo na maono yoyote yaliyojificha kwenye koti la uongozi yameumbuliwa mchana kweupe na Hayati Magufuli akiwa kaburini.

Kila kona ya nchi sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua kwa 85%, hii ni habari njema na ya matumaini makubwa. Hamu inaendelea kuwa kubwa endapo mitambo yote 9 ikiwashwa na kuanza kuzalisha umeme, je matokeo yake yatakuwaje?

Hilo likiwa halijakauka, habari njema zaidi ni kuanza kwa majaribio ya SGR kutoka Dar mpaka Moro, majaribio ambayo yamefanyika kwa mafanikio. Kuanza kufanya kazi kwa SGR uchumi wa Tanzania utafunguka kwa kiwango kikubwa.

Miradi hii, wa kufua umeme na SGR ni pigo litakaloikumba upinzani na kwa sababu hawaoni wataendelea kuona Watanzania wanataka maandamano. Watanzania wanataka maendeleo na maendeleo yanayoletwa na Serikali ya CCM ni ya vizazi kwa vizazi.

Miradi mikubwa yote ambayo hapo kabla ili "white elephant projects" na wapinzani sasa imekuwa miradi yenye matokeo mazuri kwenye uchumi. Miradi hiyo itautesa upinzani kwa miaka mingi sana na kama upinzani wataendelea kuzurura bila ajenda, sioni mwisho kwao.

Mwenyezi Mungu mpe pumziko jema mja wako, matokeo ya kazi ngumu kwa nchi hii tumeanza kuyaona sasa.
 
Atagombea na kushinda. Kazi aliyoifanya kuituliza nchi na kuijenga kiuchumi inajiuza yenyewe

Wapinzani wa Senegal siyo wasaliti wa nchi kama hawa wa Tanzania.

# Lisu tutashitakiwa MIGA tukidai kodi kwenye madini yetu.

# tukichimba bwawa la umeme mvua haitanyesha tena na miti millioni 3 itakatwa hivyo tutatengwa kimataifa.
 
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola kichwani.

Makonda amesema Magufuli ni role model wake katika kulipenda na kulitumikia taifa lake mpaka kufa.

Katibu mwenezi huyo amewataka wanaomchafua Magufuli kwa mabaya wajaribu kuyataja na mazuri yake.

===
Paul Makonda ambaye ni Katibu mwenezi wa CCM amesema hatukuja kumsaliti Magufuli hata akiwekewa bastola kichwani. Amesema Magufuli alikuwa ni mwalimu wake, rafiki na mshauri.

Makunda amesema hayo baada ya kutoka Chato alipoenda kuzuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Aidha amesema wanaotaka kumgombanisha Rais Samia na Magufuli hawatoweza kwa kuwa uteuzi wa Makonda kwa nafasi ya uenezi wa chama ni kielelezo tosha cha kuwa Samia hana chuki na Magufuli.
Risiti
 
Back
Top Bottom