Makonda: Sio lazima niteuliwe, ninaweza kuwa Kiongozi wa familia

Aendelee kujifunza. Kijana ana uthubutu sana ni vile hakuwa anajua A B C za uongozi na pia mkuu alikua anamlea....

Kujikwaa si kuanguka...

Akae benchi zaidi apate kujifunza
Neno la hekima sana hili.

Kwa sabbu ameshajifunza + kuhitimu mafunzo basi kwa baadae Mungu akimjalia akiwa kiongozi aweze kutafakari + kunyambua mambo.
 
Neno la hekima sana hili.

Kwa sabbu ameshajifunza + kuhitimu mafunzo basi kwa baadae Mungu akimjalia akiwa kiongozi aweze kutafakari + kunyambua mambo.
Alikuwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa atuambie alipo Bollen Ngeti kwanza ... Na mwambie atubu kwanza
 
Bora angeanza tu kuimba muziki wa Bongo fleva
Mbona wakina Dawamondu wameimba muziki wakatoboa?
 
Hapo anajitangaza kuwa sasa hivi ni msomi wa uongozi na utawala ili apate teuzi kwa Mama tu
 
Hii taarifa imeletwa huku nusu nusu. Kayasema haya baada ya kupata shahada ya uzamivu ya MBA toka Chuo fulani hivi kinachoshirikiana na kingine toka Finland. Hiyo shahada ndo inampa uwezo huo anaozungumzia wa kuwa Kiongozi wa Familia.
 
Daaaa huyu jamaaa bora atulie tu,mana watu wanayao ya moyoni na wanamuona yupo uraiani anatanua
 
Kuna watu wanapenda Sana kwenda na tafsiri za Maisha na wengine wanasemaga wenzao hawawezi kuwa viongozi... Kwa wale Wenye KAZI ya malaika na shetani labda watapambana usipate hata uongozi wa familia maana wanasema ni mbinu za kupatia uongozi...

Kudos Kwa kuamua kuwa kiongozi wa familia hakika kila mtu inabidi aheshimu KAZI hiyo kubwa kama mbinu ya kila mtu ni kiongozi kwenye hii dunia

 
Back
Top Bottom