Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,783
- 2,207
Waliomponda britanicca kwa hii taarifa mjikusanye tuwapopoe 😂😂
Mtoto mtiifu wa jasusi mbobevu(RIP)Makonda ndiye alitoa password kwa wanamtandao waliomtanguliza jiwe kaburini.
Humu ndani watu wajinga Britiacca sio wa kumpuuza kabisaWaliomponda britanicca kwa hii taarifa mjikusanye tuwapopoe 😂😂
huduma nyingi zinaenda kuanguka sababu ya siasa au kuwa include wana siasaLeo nimemdharau onesmo wa mbingu duniani baada ya kumkaribisha makonda madhabahuni na kuanza kumsifia sa100☹️☹️
😎Sio kweliHuyu asingesoma angekuwa kigagula au ngariba kukeketa watoto wa wenzake, sura ngumu kama ya Lucas Mwashambwa cc ephen_
Lucas alipata division 0 kama boss wao.Huyu asingesoma angekuwa kigagula au ngariba kukeketa watoto wa wenzake, sura ngumu kama ya Lucas Mwashambwa cc ephen_
You're wrong all (most of) the time.Samahani britanicca kumbe taarifa yako ilikuwa ya ukweli
Nyie wanamtandao watu wa ajabu sana mlipa Sumu Makonda, Kijaz, Mangula, Magufuli, Mwakyembe, Tindikali Kubenea, Sumu Mkapa mlolongo ni mrefu. Hongereni!!Ingawa hatumujui aliempa sumu lakini simulaumu
Sasa nimeanza kumuelewa britanicca na Tumia akili"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Upo sahihi kabisa aseme vipimo vilionyesha amelishwa sumu ya aina gani mboni Job fasta tu akarestMakonda anaweza kuongea chochote pia msisahau ilo apate huruma ya wananchi
Karma is a bitch,Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda, amekiri kuwahi kulishwa sumu hali iliyomsababishia kulazwa hospitalini na kutoonekana hadharani.
Makonda amefichua siri hiyo leo Jumapili, Septemba 21, 2025, wakati wa ibada katika Kanisa la Mbingu Duniani lililopo Njiro - Arusha, akisema si mara yake ya kwanza kulishwa sumu na kwamba amenusurika kifo mara kadhaa.
"Kuna kipindi nilipotea nikaanza kutafutwa, na wengine mlinitafuta kwa nguvu kubwa huyu yuko wapi. Ukweli nilikuwa naumwa, nililishwa sumu, Yasingekuwa maombi ya Watanzania na Mungu kumuinua Rais Samia Suluhu Hassan kusimamia matibabu yangu nilitakiwe nife mwaka jana," amesema Makonda.
Kuna moja watamkamata tu yaan anaanza kujitangaza sasa itabidi wafanye mixing ambayo hata afanyaje hachomoi labda abadirishe damu mwili mzimaKarma is a bitch,
Umeua wangap,
Umesababisha direct or indirect wangp kupoteza maisha.
What's goes around, comes around!!
Binafsi sikusikitikii, unavuna ulichopanda!!
Waache wajinga