Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

Vita ya mashoga aliishia wapi vile maana naona bado wapo wapo tu
 
Tofauti yao ni nafasi/cheo, ujazo wa miili, uzito na umri lakini wanafanana vitu vingi hasa akili na upeo!
 
Swali ni kuwa utabaini vipi kuwa huyu ameoa na huyu hajaoa. Ama kutakuwa na ID kwa wenye ndoa kwenye paji la uso. Na wale wanao ingia dar na kutoka itakuwaje?
 
Ukubwa dawa
 
Comments reserved naishia kwakusema ''Mbombo ngafu''
 
Tena huo muhuri unaweza kuwa unaonyesha jina la mkeo na namba yake ya simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…