Makonda: Ndoa zote ndani ya mkoa wa Dar es Salaam kusajiliwa

Mi nadhani anatania tu, anajaribu kuwatoa mawazo ya ajali ya tanker. Ila huyu mwamba ni underground kilaza.
Huyu jamaa hii miradi yake anayoibua unajua ana akili sana kila akiibua kitu kuna jambo muhimu linapita sasa sijajua this time amekuja na nnbehind the scene
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila ndoa.

My take .
Hii idea inaweza kuwa mwiba mchungu mitaa ya ufipa na watakuja kupinga sana kwa sababu ya mwenyekiti wao mpenda totozi( fly to KIA baby)

=====

Dar, wanaume walaghai kukiona

Monday August 12 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

pic+makonda.jpg

IN SUMMARY
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amezungumzia mpango mkakati wa mkoa huo wa kupambana na wanaume walaghai kwa wanawake ikiwamo kuzisajili ndoa zote za mkoa huo.

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

Kanzidata hiyo itahusisha usajili wa ndoa zote ili wanaume waliooa waweze kubainika na kuwanusuru wanawake wasitapeliwe na kuumizwa mioyo kwa kutegemea ndoa.

Makonda amesema pamoja na kanzidata hiyo atatumia mkutano wa SADC kupata uzoefu kutoka kwa nchi nyingine kufahamu namna gani wanakabiliana na utapeli wa aina hiyo.

Mkuu huyo wa mkoa amesema kumekuwepo na malalamiko mengi ya wanawake kuumizwa hivyo wakati umefika wa kuanza kushughulikia.
“Tutaanza kuangalia na kupata uzoefu kwa wenzetu wa SADC ambao kama haya wanashughulikiaje na mkutano ukiisha tutajadiliana kama mkoa tunawezeshaje usajili huo,” amesema

“Kanzidata hii itawasaidia wanawake wasitapeliwe, mtu akitaka kukuoa utaenda mtandaoni na kuangalia taarifa zake, utabaini kama ameoa au la na vilevile itawasaidia hata wanawake ambao wameolewa ili kuzuia waume zao wasioe kwa siri,” ameongeza
Huyu jamaa hachoki tu? Nani amempa hayo mamlaka kisheria?
 
Jamaa ana vituko hadi raha. Hivi wana Dar Es Salaam mlipimwagwa tezi dume nyumba kwa nyumba au zoezi liliishia wapi?
 
Hakuna jambo lilialonzishwa na Makonda likafanikiwa na hii inatokana ufinyu wa fikra alionao.
Back to the topic. wanaume waliooa watapigwa muhuri usoni?

Barabara chafu
Mitaro imejaa taka
Viunga vilivyojengwa kwa gharama kubwa ya serikali havina mvuto tena
Mitaa michafu
Maeneo ya biashara machafu
Maneno mengi hakuna tija
 
Wee
Jamani mimi najipanga kuanzisha uzi wenye Mada ya “UCHAFU ULOKITHIRI KWENYE MASOKO YA MANISPAA za JIJI la Dar es salaam

Na nitam copy RC Makonda

Wakurugenzi wa Hal mashauzi za MANISPAA zote za DSM

Angalia soko la Kawe ni chafu na katika maeneo yenye kipindupindu hapa juzi kati Kawe pia ni maeneo yalitajwa,

Soko la mwenge angalia maji machafu yanavyotiririka sokoni, anzia soko la kuku kuja huku barabarani,

Buguruni, sterio, karibia yote , pale shekilango soko la kuku n.k

Vyoo haviko vizuri halafu vipo karibu na vyakula vinapouzwa hii ni hatari sana tena sana!

Kwako RC Makonda kama utausoma ujumbe huu tafadhali naomba ufanyie kazi wananchi watabarikiwa sana nawe
Bhana wee henu Hili kalianzishie uzi siye tunataka kumskia mkuu wetu wa mkoa akija kuwafariji wanawake wanaodanganywa na wakware
 
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam amepania kuanzisha kanzi data ya ndoa zote ndani ya mkoa ili kuwanusuru wanawake wanaotapeliwa kimapenzi na kudanganywa kwamba wataolewa na kuishia kutumika tu bila ndoa.

My take .
Hii idea inaweza kuwa mwiba mchungu mitaa ya ufipa na watakuja kupinga sana kwa sababu ya mwenyekiti wao mpenda totozi( fly to KIA baby)

=====

Dar, wanaume walaghai kukiona

Monday August 12 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

pic+makonda.jpg

IN SUMMARY
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amezungumzia mpango mkakati wa mkoa huo wa kupambana na wanaume walaghai kwa wanawake ikiwamo kuzisajili ndoa zote za mkoa huo.

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzi data ya ndoa zote zilizopo kwenye mkoa wake ili kupunguza utapeli wanaofanyiwa wanawake kwa kudanganywa kuolewa.

Kanzidata hiyo itahusisha usajili wa ndoa zote ili wanaume waliooa waweze kubainika na kuwanusuru wanawake wasitapeliwe na kuumizwa mioyo kwa kutegemea ndoa.

Makonda amesema pamoja na kanzidata hiyo atatumia mkutano wa SADC kupata uzoefu kutoka kwa nchi nyingine kufahamu namna gani wanakabiliana na utapeli wa aina hiyo.

Mkuu huyo wa mkoa amesema kumekuwepo na malalamiko mengi ya wanawake kuumizwa hivyo wakati umefika wa kuanza kushughulikia.
“Tutaanza kuangalia na kupata uzoefu kwa wenzetu wa SADC ambao kama haya wanashughulikiaje na mkutano ukiisha tutajadiliana kama mkoa tunawezeshaje usajili huo,” amesema

“Kanzidata hii itawasaidia wanawake wasitapeliwe, mtu akitaka kukuoa utaenda mtandaoni na kuangalia taarifa zake, utabaini kama ameoa au la na vilevile itawasaidia hata wanawake ambao wameolewa ili kuzuia waume zao wasioe kwa siri,” ameongeza
Nikisema Etwege ni Mrs Makonda mnasitasita kukubali, oneni wenyewe post za mke wa Zero Brain.!
 
Jamani msimlaumu Bashite. Uwezo wake wa kufikiri ndo unafikia hapo!
)

kama ni kweli basi takuwa ana nyota ya ndoa.

Hawajifunzi kwa mwenzao Anton Mtaka wa simiyu.jamaa nampendaga bure.amekaa kama waziri wa Maendeleo ya mchi vile.
 
Anapropose kitu ambacho anadhani kitaleta manufaa lakini Hana uhakika ni jinsi gani kifanyike. Kwani anapojipa matumaini kupata uzoefu kutoka kwa wajumbe wa SADC, je ana uhakika kwamba hizo nchi wanatekeleza kitu Kama hicho na kwamba wanawake wa nchi hizo hawatapeliwi na wanaume?

Ikiwa hicho ndicho kitu alichamiria kujifunza kutokana na mkutano wa SADC basi ameshindwa kubuni wazo la maana la nanna ya kutumia fursa hiyo kwa manufaa ya mkoa wake.
 
Anapropose kitu ambacho anadhani kitaleta manufaa lakini Hana uhakika ni jinsi gani kifanyike. Kwani anapojipa matumaini kupata uzoefu kutoka kwa wajumbe wa SADC, je ana uhakika kwamba hizo nchi wanatekeleza kitu Kama hicho na kwamba wanawake wa nchi hizo hawatapeliwi na wanaume?

Ikiwa hicho ndicho kitu alichamiria kujifunza kutokana na mkutano wa SADC basi ameshindwa kubuni wazo la maana la nanna ya kutumia fursa iliyopo mbele yake kwa manufaa ya mkoa wake.

Lakini kwa umri alionao na akiwa Kama mwanamme, mkuu huyu bado tu hajajifunza kuwa wanawake wanapenda zaidi wanaume waliooa kuliko mabarobaro?
 
Mkiambiwa bashite ni darasa ka saba B mnakataa haya sasa mmeona wenyewe.
Nahisi kama kutakuwa na utapeli dhidi ya wanaume. Mwanamke ataenda kwenye Kanzidata na kuregister kuwa fulani ameahidi kunioa halafu baada ya siku kadhaa unapata matokeo yake.
 
eunuch
/ˈjuːnək/

noun
a man who has been castrated, especially (in the past) one employed to guard the women's living areas at an oriental court.
an ineffectual person.
"a nation of political eunuchs"

Source: oxford
 
Bashite akikaa mwezi hajaongea upuuzi huwa hapati usingizi eeh.
Wale wanaume waliotelekeza watoto wameshashugulikiwa??
Atakayeenda kusajili ndoa kwa bashite watakuwa wanafanana akili.
 
Back
Top Bottom