Mkuu, lengo la kuongeza muda wa bure sio kusaidia wanyonge.Safi sana mkuu wa mkoa, mimi ukifanya jambo jema la kuwasaidia wanyonge nitaendelea kukuunga mkono pamoja na kwamba upo ccm
Safi sana mkuu wa mkoa, mimi ukifanya jambo jema la kuwasaidia wanyonge nitaendelea kukuunga mkono pamoja na kwamba upo ccm
mbona gamba mwenzako tuu?Safi sana mkuu wa mkoa, mimi ukifanya jambo jema la kuwasaidia wanyonge nitaendelea kukuunga mkono pamoja na kwamba upo ccm
Wacha ukilaza wako weweYeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live
BeibiYeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live
Ukilaza uko kwenye nini wewe mpenda bure? Hiyo ni kampuni ya biashara, inaposema imetoa siku mbili za majaribio ya bure wamesha calculate hiyo hasara Makonda ni nani kuja kuwaongezea muda? Ina sasa wamepunguza mabasi na kusababisha usumbufu kwa watu.Wacha ukilaza wako wewe
Sio kila jambo uonekane umechangia
Yeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live
Ukilaza uko kwenye nini wewe mpenda bure? Hiyo ni kampuni ya biashara, inaposema imetoa siku mbili za majaribio ya bure wamesha calculate hiyo hasara Makonda ni nani kuja kuwaongezea muda? Ina sasa wamepunguza mabasi na kusababisha usumbufu kwa watu.
Au akili yako na yake ziko sawa kiasi huwezi kuona tofauti?
Yeye inamuhusu nini? Hiyo gharama ya ziada ya kuendesha majaribio ya bure ataifidia nani maana DART walisha calculate kibiashara siku hizo mbili.
Ina pengine ndio maana Leo kunekuwa na Shida kwani wamepunguza mabasi ili gharana ije kuwa sawa na ile waliyopiga awali jambo ambalo limeleta usumbufu.
Huyu kijana kihede chake kama hajidhibitiwi ataleta Shida Dar au watu watachoka kuheshimu hiyo title na kumpa makavu live
Mkuu unamaanisha nini? SijakupataSi mchezo, kila kituo na zaidi ya 1billion!!!.
Simchukii Makonda nachukia usanii unaofanyika nje ya majumba ya Sana'a kwa gharama ya maisha ya wengine tuu. Usinielewe vibaya.Mkuu mbona unaonekana ni mtu mwenye jazba...na chuki kali kwa ndugu Makonda.....mambo hayapo hivyo mkuu....si vyema kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hicho hata kama kuna mambo mnadhindwa kuelewana....tujiunze kuvumiliana....hata kama tunatofautiana itikadi na maoni.....wanadamu hatuwezi kuwa na mawazo na fikra zinazofanana.....
Kicheko kwa vile hutalipa nauli? Wakati utakaa Massa mengi kusubiri hiyo bure kwani zaidi ya 50% ya mabasi yataondolewa kufidia gharama ya ziada!ila shaka unaishi Morogoro
Sisi wa Kimara ni kicheko tu wiki nzima