- Thread starter
- #161
Ndugu Mwlmawia, sikurupuki. Inavyoelekea wewe ndiye mkurupukaji. Hata hiyo posting yangu kukujibu, ya dakika 5 zilizopita , umenijibu bila kuisoma vizuri. Nimekupa maelezo ya Neno Ajuza.Unataka kutwambia wahenga walio litumia hilo neno AJUZA hawana akili?
Au kwa akili zako AJUZA ni neno jipya?
Tumia akili bwana mdogo wacha mikurupuko
By the way, nimeishi Arabuni zaidi ya miaka 25, nazungumza Kiarabu Fasaha, ba ninakiandika.