MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 4,843
- 15,156
Makonda amerudia aliyowahi kuyasema Ndugu pole pole, hii bado ni awamu ya tano, ni wahuni wachache tu ndio wanajifanya hawatambui hilo na kuiita awamu ya sita.
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.
Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.
Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.
Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.
Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.
Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.
Lissu alipigwa Risasi.
Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.
Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Kweli pesa imepotea, matumaini yangu kipato kitaongezeka, ajira zimeonhezekap, wawekezaji wanarudi, hali ya hofu haipo tena.Na ugumu wote huu wa maisha wewe unasema nchi inapaa kiuchumi? Ni kweli gharama za maisha zinapaa, lakini hilo siyo jambo la kujisifia.
Hivi wengine ujinga wa aina hii huwa mnautoa wapi? Hebu nipe siri na mini nikauazime angalau mara moja nilete hoja za kitaahira kama hii!
Na pia tukamlilia atumalizie mchezo naye alivyo mwema akajibu maombi.Japo ni kweli JPM alikuwa dikteta, Tanzania tulipofikia tulimuhitaji dikteta mzalendo, tukamlilia Mungu, akatupatia JPM
Naunga mkono hoja
Ukraine hatuna uhusiano nao! Pale tuna uhusiano na Poland na UrusiHuyu Makonda apewe ubalozi hukoo UKRAINE...
Kama polepole alipigwa Cuba .then huyu huko kutamfaa..
Moyo wake umejaa chuki .visasi na gubu..
Hovyoo..
Kulipwa haihusiani na taaluma!Yako mengi sana ,saizi wale jobless wa kuznia 2016-2021 wengi wao wamepata kazi.
Wengine Hawa hapa View attachment 2945673
Hao unaowaita cheti fake Samia kawalipa mafao , Magufuli alishindwa
Kwani kawalipa jasho lako au lao? Rushwa gani hapo kwani watapigiwa simu na kukaguliwa upande waliopigiwa kura?Kulipwa haihusiani na taaluma!
Samia kawalipa kama Rushwa ya kura za Urais 2025.
Lakini bado hawajawa na vyeti halali.
Ni vyeti fake mpaka wanaondoka Duniani.
Wale wafanya biashara wa Singida waliopotea kawapoteza Samia sio? Wale wanaodaiwa kupotea saizi nani anawapoteza? Kwa vile walipotea kipindi cha Magufuli mnasema kawapoteza Magufuli ila waliopotea kipindi hiki cha Samia mnasema Samia hahusiki!Hata kama katumwa , kwani kuna mtu anaweza kuhodhi ukweli kuwa Magufuli alikuwa dikteta ambaye kwa vitendo vyake kuna watu walipoteza maisha?
Ukweli huo hsutofutika.
Flawed logic.Wale wafanya biashara wa Singida waliopotea kawapoteza Samia sio? Wale wanaodaiwa kupotea saizi nani anawapoteza? Kwa vile walipotea kipindi cha Magufuli mnasema kawapoteza Magufuli ila waliopotea kipindi hiki cha Samia mnasema Samia hahusiki!
Wewe naomba uniambie wale vijana wa Kariakoo watano wako wapi? Yule mfanyabiashara aliyekuwa anaidai TRA milion 900 kafariki mazingira ya kutatanisha hamsemi! Nyinyi nyumbu akili hamna ni wapumbavu wa kuokoteza maneo! Hata sasa watu wanapotea vile vile kipindi cha Kikwete Chacha Wangwe alifariki kiutata,Dr Mvungi wa katiba mpya aliuliwa,Mtikila pia alifariki kiutata,Dr Ulimboka alitekwa na watu kibao walipata matatizo ila ulivyo ndezi unaona ya Magufuli tu Mpumbavu wewe!Flawed logic.
Arguments na logic kama hizi ni sawasawa na kusema punda ana masikio mawili, binadamu ana masikio mawili.
Kwa hiyo punda ni binadamu!!!
Inawezekana lakini toa ushahidi.Acha uongo wote ni wale wale, wizi wa kura umeendelea kuwepo Magu akiwa kaburini,
Usijitoe ufahamu.
Mkuu unaharisha historia.Wewe naomba uniambie wale vijana wa Kariakoo watano wako wapi? Yule mfanyabiashara aliyekuwa anaidai TRA milion 900 kafariki mazingira ya kutatanisha hamsemi! Nyinyi nyumbu akili hamna ni wapumbavu wa kuokoteza maneo! Hata sasa watu wanapotea vile vile kipindi cha Kikwete Chacha Wangwe alifariki kiutata,Dr Mvungi wa katiba mpya aliuliwa,Mtikila pia alifariki kiutata,Dr Ulimboka alitekwa na watu kibao walipata matatizo ila ulivyo ndezi unaona ya Magufuli tu Mpumbavu wewe!
Ndo nasema acheni unafiki,Inawezekana lakini toa ushahidi.
Magufuli alikufa lakini mafisadi wa kisiasa bado wapo, hawakufa naye.
Kwanini Makonda aliposimama umati ulimshangilia kuliko wote paleSamia atavuna alichopanda kwa kuteua Mamluki mwenye kashfa , unachagua mtu mchafu ili uwawin Wasukuma , ni msukuma yupi wa kushawishika na Makonda ?
kazi mnayo .
Na tetesi za uhusika wa Makonda kumpiga risasi Tundu Lissu unalizungumziaje?Ndo nasema acheni unafiki,
Sa100 Si msafi maana ameendeleza wizi wa kura,
Yeye na Magu ni wamoja katika angle hiyo.
Hivyo mako, is right.
Wewe Samia unamuona wa maana kawahamisha Wamasai kwa nguvu kutoka Ngorongoro huku akiumiza na kuua watu! Wewe ulivyo mpuuuzi unamuona wa maana sana!Mkuu unaharisha historia.
Ila kiujumla wewe ridhika na ukweli kuwa sasa hivi hofu ya kubzmbikwa kesi, kuwekwa ndani, kesi za kupika uhujumu uchumi, na hata Task Force za kuwsibia safznyabiashara, vyote hivyo hakuna tena.
Mama Samia hoyee!
Endelea kusubiriMakonda kwanza hajatuambia nani alimteka MO!
Alijigamba kuwa anawafahamu na atamrudisha MO!
Ni zile zile sawa na za wale vijana wa CAG kufariki Kwa Sumu 2022,Na tetesi za uhusika wa Makonda kumpiga risasi Tundu Lissu unalizungumziaje?
Tujaalie..Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.
Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.
Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.
Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.
Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.
Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.
Lissu alipigwa Risasi.
Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.
Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Tetesi ndo nini? Kama ushahidi unao nenda Mahakamani acha kubwabwaja! Said kubenea alisema kama unataka kujua Ben Saanane alipo muulize Mbowe! Hata Dr Slaa alisema mnatabia ya kutekana ili kusingizia serkali!Na tetesi za uhusika wa Makonda kumpiga risasi Tundu Lissu unalizungumziaje?