fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,727
- 2,632
Huenda jamaa kawasilisha succession plan ya bimkubwa. Huyu si alitabili chato boy na ikawa kweli.. basi ni kwamba yeye ndio wale wa jikoni ila kazi yake ni kutoa taarifa ya protocol zijazo.
Hakuna linaloshindikana chini ya jua...Wabongo kwa sifa za kijinga. Makonda aloyenyimwa ubunge Kigamboni Leo mnamtabiria urais. Aiseee
Huyo msukuma,ndiyo huwa tunasema 'maamzi(maamuzi),msa(Musa)'Hivi mbona mnamwabudu sana maiti magu?
Wathhenge haoHivi mbona mnamwabudu sana maiti magu?
Tutake radhi wanyamwezi,tabora hakuna washamba...phala nini!Muha huyo....baba yake ni Muha na Mama ni Msukumua na kakulia Kaliua, Tabora kwa washamba zaidi. So ni kumuonea tu huruma.
Alitabirije kuhusu chato boy?Huenda jamaa kawasilisha succession plan ya bimkubwa. Huyu si alitabili chato boy na ikawa kweli.. basi ni kwamba yeye ndio wale wa jikoni ila kazi yake ni kutoa taarifa ya protocol zijazo.
Katafute uhusiano wa familia ya kikwete na makonda.. Manji anajua kabisa makonda n rais ajae ndiyo maana hawekezi tena TanzaniaBora usisubiri.
Hapa Makonda anatumiwa kama toilet paper kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025.
Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda.
Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe
hili la makonda limesemwa sana kwa mda mrefu hata pascal mayala alisha lisema hli.. Atakuwa rais chini ya katiba mpya..Huenda jamaa kawasilisha succession plan ya bimkubwa. Huyu si alitabili chato boy na ikawa kweli.. basi ni kwamba yeye ndio wale wa jikoni ila kazi yake ni kutoa taarifa ya protocol zijazo.
Umerudi tena.Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,,
Pili Nawasalimu Kwa jina la Ccm,
Tatu karibu sana Brother,nakutana mara tatu Makonda,makonda,makonda.
Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,,
Narudia karibu sana Lumumba head office bro.
Kuna wakat inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea,ndicho ulichokifanya,uliwaacha Watanzanja waongee Yao ya moyoni mpaka walizike,na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote,Ulikaa kimya kama ambavyo Mimi MAGAMBA MATATU hua nakaa kimya Kwa mwaka naweza toa Post Moja tu Kwa mwaka Jamii forum,au nisitoe kabisa,,hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "nimeambiwa niwe kimya "
Hilo umefaulu na hatimae mama kama mwenyekit wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama kiongozi,ulitimiza wajibu wako kama mkuu wa mkoa toka Kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa ni wajibu utimize mamla uliyopewa,japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndo umepotezwa ndani ya Chama baada ya Jemedali Magu kutoka,
Sasa Chama kimekuamin na kujua ulitimiza wajibu toka Kwa mamlaka, Narudia WELCOME BRO,japo wanafiki utawaona wakirud kwako Kwa mgongo wa NYUMA,najua ww n smart thinker.
Nne,hapa msiponielewa mtanielewa baada ya Miaka 7 ijayo na mtarud na kunitafuta hii thread,,Huyu Makonda atakuwa waziri kwenye wizara nyeti mwaka 2025 na Zaid atagonbea urais 2030 na atakua the Next Magu,,kama hutaki nenda rumumba head office mvue cheo hiki alichopewa Leo..
Welcome bro..
Jion njema!
Zile ID zilizolala zinaamka sasa, wale chawa wa bashite.Labda kama Mungu ni mjomba wako , hilo halipo na ccm haitakua madarakani
Duh! Maelezo yote haya ni kwa ajili ya Makonda tu? Je, siku ikitokea ukatakiwa umwelezee Mwalimu Julius K. Nyerere si utajaza JF nzima kwa maelezo yake?Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,,
Pili Nawasalimu Kwa jina la Ccm,
Tatu karibu sana Brother,nakutana mara tatu Makonda,makonda,makonda.
Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,,
Narudia karibu sana Lumumba head office bro.
Kuna wakat inatakiwa uwe mkimya mbele za watu hata kama umewakosea au wamekukosea,ndicho ulichokifanya,uliwaacha Watanzanja waongee Yao ya moyoni mpaka walizike,na baada ya kumaliza kuongea hukujibu chochote,Ulikaa kimya kama ambavyo Mimi MAGAMBA MATATU hua nakaa kimya Kwa mwaka naweza toa Post Moja tu Kwa mwaka Jamii forum,au nisitoe kabisa,,hapa ndio unaukumbuka wimbo wa Diamond wenye verse "nimeambiwa niwe kimya "
Hilo umefaulu na hatimae mama kama mwenyekit wa Chama kaona kuwa ulitimiza wajibu wako kama kiongozi,ulitimiza wajibu wako kama mkuu wa mkoa toka Kwa mamlaka, maana ukiteuliwa umeteuliwa ni wajibu utimize mamla uliyopewa,japo wengi waliona kuwa ulifanya ndivyo sivyo, na wengi walifiliki kukukashifu ilihali wakijua ndo umepotezwa ndani ya Chama baada ya Jemedali Magu kutoka,
Sasa Chama kimekuamin na kujua ulitimiza wajibu toka Kwa mamlaka, Narudia WELCOME BRO,japo wanafiki utawaona wakirud kwako Kwa mgongo wa NYUMA,najua ww n smart thinker.
Nne,hapa msiponielewa mtanielewa baada ya Miaka 7 ijayo na mtarud na kunitafuta hii thread,,Huyu Makonda atakuwa waziri kwenye wizara nyeti mwaka 2025 na Zaid atagonbea urais 2030 na atakua the Next Magu,,kama hutaki nenda rumumba head office mvue cheo hiki alichopewa Leo..
Welcome bro..
Jion njema!
Alikuwa na akili kubwa ambayo wenye akili ndogo kama wewe mtakuja kumuelewa uzeeni!Hivi mbona mnamwabudu sana maiti magu?
Kwani US ni mbinguni?ukiona Kiongozi wa Afrika analalamika kuzuiwa kuingia Marekani basi ujue kuna Mali za uwizi kaficha uko.Kuna watu hamna akili hata chembe, usifananishe uenezi na urais.
Huwezi kuwa na rais asiyeruhusiwa kukanyaga US.
HII Sahau, kula matopola ujambe ulale
Hujui usemaloKwani US ni mbinguni?ukiona Kiongozi wa Afrika analalamika kuzuiwa kuingia Marekani basi ujue kuna Mali za uwizi kaficha uko.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app