Makonda kumfuata Wema mahabusu nyakati za usiku, hii imekaaje?

Uongo umewazidi, angeongelea wanake Steve na waliyoyarusha.

Hawana adabu mbele ya viongozi wa nchi hii.

Jambo lingine wanajua walitaka awe anatoroshwa kwenda nyumbani na kurudishwa asubuhi mapema, inaelekea mchezo huu hawakuweza kuucheza.
Ndiyo maana Daudi akawa anamfuata Wema usiku ili asiende Hm?
 
Nyie cdm nawashangaa sana. Ccm ni chama kikubwa sana. Tena kina nguvu. Hakuna chama pinzani mpaka ss chenye uwezo wa kutunishiana misuli na ccm. Babu hagombei tena 2020 so mjiandae kwa anguko lingine kubwa sana.
 
Hayo maneno tumezoea kuyasikia tokea mwaka 2005.Kila siku mnajifariji tunaizika ccm,lakini mnazikwa nyie.Mwenye ubavu wa kuizika ccm hapo nani? mbowe au Lowassa?vipi operesheni delete ccm iliishia wapi,mlifanikiwa kuizika ccm?
Unachekesha sana mkuu,ccm ife kwa ajili mvuta bangi mmoja amekimbia?
Kamuulize libuvaa
 
Sijui ataacha lini hii tabia

Mtu ameoa ila bado anahangaika tu

Alianza na masogange weeee sasa kahamia kwa akina Wema.

Usipotumia kinga shauri yako.
 
Uongo umewazidi, angeongelea wanake Steve na waliyoyarusha.

Hawana adabu mbele ya viongozi wa nchi hii.

Jambo lingine wanajua walitaka awe anatoroshwa kwenda nyumbani na kurudishwa asubuhi mapema, inaelekea mchezo huu hawakuweza kuucheza.
Unazagaa si mchezo.
 
Hayo maneno tumezoea kuyasikia tokea mwaka 2005.Kila siku mnajifariji tunaizika ccm,lakini mnazikwa nyie.Mwenye ubavu wa kuizika ccm hapo nani? mbowe au Lowassa?vipi operesheni delete ccm iliishia wapi,mlifanikiwa kuizika ccm?
Unachekesha sana mkuu,ccm ife kwa ajili mvuta bangi mmoja amekimbia?
Hahahahahaaaa povu LA nini?umekula sabuni?
 
Nyie cdm nawashangaa sana. Ccm ni chama kikubwa sana. Tena kina nguvu. Hakuna chama pinzani mpaka ss chenye uwezo wa kutunishiana misuli na ccm. Babu hagombei tena 2020 so mjiandae kwa anguko lingine kubwa sana.
Watu kama hawa wenye akili za kuku mitetea .....bakra hamsa ishurun mbele ya umaat wa watu sokon zinawahusu
 
Habari wakuu..

Bado suala la shutuma za madawa ya kulevya linaendelea kushika kasi.

Mimi nimenukuu baadhi ya Hoja alizozitoa mama wa Wema Sepetu leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Ameuambia Umma kwamba mkuu wa mkoa wa Dsm Bw Makonda nyakati za usiku alikuwa akienda mahabusu kuwafuata akina Wema.

Wakuu tuelimishane uhalali wa Makonda kwenda mahabusu nyakati za usiku na sio mchana ili kumuona Wema, Je kuna jambo gani la siri mkuu huyo kulifanya usiku na mtu aliyemtuhumu kuhusika na dawa za kuiniulevya?

Nitoeni matongotongo wakuu!!
Mbi
Habari wakuu..

Bado suala la shutuma za madawa ya kulevya linaendelea kushika kasi.

Mimi nimenukuu baadhi ya Hoja alizozitoa mama wa Wema Sepetu leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Ameuambia Umma kwamba mkuu wa mkoa wa Dsm Bw Makonda nyakati za usiku alikuwa akienda mahabusu kuwafuata akina Wema.

Wakuu tuelimishane uhalali wa Makonda kwenda mahabusu nyakati za usiku na sio mchana ili kumuona Wema, Je kuna jambo gani la siri mkuu huyo kulifanya usiku na mtu aliyemtuhumu kuhusika na dawa za kulevya?

Nitoeni matongotongo wakuu!!
Hizi ni habari zilizopikwa ili kumchagua RC Makonda.Vita inaendelea lakini ushindi ni lazima.
 
Halafu akiwa amevalia pajama !
 
Back
Top Bottom