Makonda kumfuata Wema mahabusu nyakati za usiku, hii imekaaje?

Kwakuwa imeshanaswa na wakili wake msomi mhe. Lissu basi tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Wewe fika mahakamani Siku ya kesi uone mbobezi wa Sheria, Bwana Lissu anavyowafundisha Sheria mawakili wa Serikali.
Naam. Tusimwage kuku kwenye mchele wengi
 
kaka mbona unahoji kitu kilicho wazi sana? makonda keshadhihirisha bila shaka yoyote kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana achilia mbali kuonekana kwamba kapita darasani lakini haonyeshi dalili ya kubadilishwa na darasa kielimu. mambo mengi anayafanya ni ya kitoto sana. na pia mji bado unamsumbua ni kama haamini.
1.Mkuu wa jiji asubuh na mapema yupo kwenye gari na msichana na steve nyerere. alitoka asubuhi akimuaga mkewe anakwenda wapi? mkuu wa mkoa anamtumia steve(msanii) kumtongozea msichana. tukiambiwa amepangishia msichana nyumba makongo tutaacha kuamini?
2.Mkuu wa mkoa anamuita msanii nyumbani kwake kwenda kumshawishi atoe speech ya kuonesha yeye yuko sahihi na kwa kazi hiyo anaidhinisha milioni mbili?.
3.Mkuu wa mkoa anapanga timu ya watoto waingie mkutanoni kumshangilia akiongea ikifuatia na kuwadhalilisha watoto hao
4.mkuu wa mkoa unatangaza majina hadharani kuwatuhumu watu hata kabla ya upelelezi. unasema umefanya uchunguzi wa miaka kumi nyuma na bado unaorodhesha majina ya mitaani yasiyo halisi? babuwakitaa, petitman ndio nini?
5. mkuu wa mkoa ukiwa nchini kwako una mwendo tofauti lakini ukiingia marekani unageuka nigga jiachie mwendo unabadilika unadunda utadhani kaboka mchizi? amekalili kwamba when in rome do as romans do? anadhani magavana wa majimbo kule marekani wanadunda?
7. Mkuu wa mkoa unafanya tukio kisha unaomba msanii arushe picha kwenye mtandao ili uonekane unafanya kazi?
6. mkuu wa mkoa anaota kuweka vikwazo kwa wananchi wasio ishi jijini dar kuingia dar?
unaweza kuorodhesha vituko vingi vya huyu bwana.
naongeza ya nane
8. mkuu wa mkoa kwenda kituo cha polisi saa nane usiku kuwaona watu wake. hii itakushangaza?
 
Kwakuwa imeshanaswa na wakili wake msomi mhe. Lissu basi tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Wewe fika mahakamani Siku ya kesi uone mbobezi wa Sheria, Bwana Lissu anavyowafundisha Sheria mawakili wa Serikali.
Aisee ni kweli Tundu lissu atawapa kisomo mawakili vipofu wa serikali adi waone
 
weka ushahid hapa watu waone, sio manenomaneno, video, sauti na kadhalka. hatuwezi kujadili fikra zako
Unataka ushahidi upi?

Ukianza mambo ya weka ushahidi tuanze na Makonda. amewatuhumu watu chungu mzima kuhusu madawa ya kulevya Cha kushangaza hajatoa na hana ushahidi wowote.

Makonda alete ushahidi wake ndio uwaambie watuhumiwa walete ushahidi .
 
Yote tunayoona sasa ni vurugu zilizosababishwa na baadhi ya watawala zetu ktk zoezi la kura za maoni mpaka uchaguzi wenyewe. Tuheshimu katiba na taratibu tulizo jiwekea badala ya kuingilia kwa nia zetu chafu matokeo ndiyo haya watu wa ajabu ajabu ndiyo watawala watu.
 
Uongo umewazidi, angeongelea wanake Steve na waliyoyarusha.

Hawana adabu mbele ya viongozi wa nchi hii.

Jambo lingine wanajua walitaka awe anatoroshwa kwenda nyumbani na kurudishwa asubuhi mapema, inaelekea mchezo huu hawakuweza kuucheza.
Kama kuna ukweli
 
Back
Top Bottom