Makonda kumfuata Wema mahabusu nyakati za usiku, hii imekaaje?

Kwanini Wema mwenye asifunguke ?na aseme Makonda alikuwa anaenda kumuomba nini?
 
Wakuu tuelimishane uhalali wa Makonda kwenda mahabusu nyakati za usiku na sio mchana ili kumuona Wema, Je kuna jambo gani la siri mkuu huyo kulifanya usiku na mtu aliyemtuhumu kuhusika na dawa za kulevya?

Makonda hajui kuwa siku hizi teknolojia inaona hata gizani?
 
Habari wakuu..

Bado suala la shutuma za madawa ya kulevya linaendelea kushika kasi.

Mimi nimenukuu baadhi ya Hoja alizozitoa mama wa Wema Sepetu leo wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Ameuambia Umma kwamba mkuu wa mkoa wa Dsm Bw Makonda nyakati za usiku alikuwa akienda mahabusu kuwafuata akina Wema.

Wakuu tuelimishane uhalali wa Makonda kwenda mahabusu nyakati za usiku na sio mchana ili kumuona Wema, Je kuna jambo gani la siri mkuu huyo kulifanya usiku na mtu aliyemtuhumu kuhusika na dawa za kuiniulevya?

Nitoeni matongotongo wakuu!!
Hizi ni hila tu zilizopangwa ili kumchagua RC Makonda,hakuna ukweli wowote,even a fool can see.Makonda sio mjinga kufanya kitu cha namna hiyo in such an atmosphere.
 
Mungu mbariki Tundu lissu

Kwakuwa imeshanaswa na wakili wake msomi mhe. Lissu basi tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Wewe fika mahakamani Siku ya kesi uone mbobezi wa Sheria, Bwana Lissu anavyowafundisha Sheria mawakili wa Serikali.
 
Uongo umewazidi, angeongelea wanake Steve na waliyoyarusha.

Hawana adabu mbele ya viongozi wa nchi hii.

Jambo lingine wanajua walitaka awe anatoroshwa kwenda nyumbani na kurudishwa asubuhi mapema, inaelekea mchezo huu hawakuweza kuucheza.

Inaonekana Jamaa anakubandua vizuri sana Mkuu kwani siyo kwa kumpenda na kujipendekeza hivi Kwake hadi kila uonapo uzi wa kumhusu Yeye Mtoto wa Kike povu linakutoka tu kama shahawa za Bata mzinga.
 
Uongo umewazidi, angeongelea wanake Steve na waliyoyarusha.

Hawana adabu mbele ya viongozi wa nchi hii.

Jambo lingine wanajua walitaka awe anatoroshwa kwenda nyumbani na kurudishwa asubuhi mapema, inaelekea mchezo huu hawakuweza kuucheza.
mbona povu
 
Lakini kama angekuwa na interest naye angeweza kumpata hata mchana mitaani, pia Makonda si ni Mwenyekiti wa kamati ya usalama? Kama anaweza kuamrisha mtu akamatwe basi pia anaweza kwenda mahabusu, ingawa sitetei mambo kadhaa ambayo RC huyu anachemka vibaya
Nafasi ya RC ni flag bearer kwa maana nzima. Kumbuka bendera huteremshwa saa 12:00 jioni ili vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kulinda raia wake. Sasa yeye huo usiku anapeperushaje bendera?
 
Back
Top Bottom