Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.
Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?
Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!