Makonda kawa kituko ziara Kanda ya Kaskazini

Katibu Mkuu Dr. Nchimbi asilaumiwe kwa hoja za Makonda. Anajua kabisa majukumu yake na huko anakopita kuna viongozi wa CCM wa mikoa hadi matawi,walipaswa kumshauri nini cha kuzungumza huko kutokana na changamoto au kazi nzuri zilizofanywa kama sehemu ya utekelezaji wa ilani ya CCM.
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!
Huyo jamaa sijui nini kinampanikisha
 
Mbona hakuna ushahid makonda kaua mkuu
Hata wewe ukiua Ushahidi ukikosekana aiondoi kuuwa kwako. Na huyo analindwa hata Ushahidi ukiwepo apelekwi popote. Mbona alivamia clouds radio na Ushahidi wa kamera ulimuonyesha akuchukulia hatua. Je kutokuchukuliwa hatua kunaondoa uvamizi aliofanya clouds?.
 
Wewe ndiye umekuwa kituko na kuonyesha ulivyo mjinga na kipofu wa akili na macho.kwa sababu mikutano ya Mheshimiwa Makonda mwamba wa siasa na Jabali la siasa na kijana jasiri kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara inafanyika hadharani na siyo gizani.kila mtu na macho yote ya watanzania yanafuatilia kwa ukaribu sana na kujionea namna kazi kubwa anayoifanya ya kupokea kero na kutoa suluhisho kwa kushirikiana na watendaji wa serikali.

Kila mmoja anaona hoja nzito na za kutetemesha zinavyotolewa na Mheshimiwa Makonda,kila.mmoja anaona namna hotuba zake zinavyogusa mioyo ya watanzania kila kona ya nchi na nje ya nchi.kila mtu anaona namna wananchi wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake.

Kwa ufupi amefanikiwa kuteka mioyo ya watanzania na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania na kuusambaratisha kabisa upinzani dhaifu kama CHADEMA kila apitapo. Sasa ni Makonda na CCM tu kila kona na kila mahali. Ni Rais Samia tu katika vijiwe na magenge mitaa yote.

Wewe ni moja ya kijana takataka hasara kwa taifa hili, vijana mlio tanguliza maslai mbele wachumia tumbo. wew kama ccm inatakiwa utasmini chama chako na kuona magepu yalio wazi ili 2025 yasifanyike makosa badala yake unatetea. shida kubwa za taifa hili kwa sasa zipo wazi kwa kila mtu Moja ikiwa umeme na gharama za maisha kuwa juu. makonda ziala zake utazani ametumwa na chadema au msemaji wa chadema. jichunge njaa isikae kichwani
 
Kwa
Wewe ndiye umekuwa kituko na kuonyesha ulivyo mjinga na kipofu wa akili na macho.kwa sababu mikutano ya Mheshimiwa Makonda mwamba wa siasa na Jabali la siasa na kijana jasiri kutoka ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara inafanyika hadharani na siyo gizani.kila mtu na macho yote ya watanzania yanafuatilia kwa ukaribu sana na kujionea namna kazi kubwa anayoifanya ya kupokea kero na kutoa suluhisho kwa kushirikiana na watendaji wa serikali.

Kila mmoja anaona hoja nzito na za kutetemesha zinavyotolewa na Mheshimiwa Makonda,kila.mmoja anaona namna hotuba zake zinavyogusa mioyo ya watanzania kila kona ya nchi na nje ya nchi.kila mtu anaona namna wananchi wanavyofurika na kumiminika katika mikutano yake.

Kwa ufupi amefanikiwa kuteka mioyo ya watanzania na kukiweka chama midomoni mwao Watanzania na kuusambaratisha kabisa upinzani dhaifu kama CHADEMA kila apitapo. Sasa ni Makonda na CCM tu kila kona na kila mahali. Ni Rais Samia tu katika vijiwe na magenge mitaa yote.
Jinsi Makonda anavyopenda sifa wewe mtakaa sello moja
 
Ukifiatilia hotuba zote alizotoa Kilimanjaro na Arusha hakuwa na ajenda ya kueleweka zaidi ya kuzungumzia maandamano ya Chadema na kujikomba kwa Mbowe.

Mara akasema siasa inalipa, mara nitalala kwa Mbowe, mara Samia karuhusu maandamano ya Chadema. Hivi Nchimbi hakumwandalia hoja za kupeleka kwa wananchi wa mikoa hiyo?

Mbaya zaidi ameiacha uchi CCM kuwa ni chama cha hovyo na kinatumia nguvu za polisi na vyombo vya dola kutawala kimabavu!

Katibu mwenezi ajikombe kwa mbowe kweli! Angekuja mtu asiejihusisha na politics tungeamini hili, lakini wewe mchadema nani akuamini!

Ili Chadema kifike mbali basi wekeni udini, ukabila na ubaguzi pembeni. Otherwise mtaambulia baadhi ya wanakaskazini tena majobless
 
Mpumbavu wewe kwani hukusikia amesema atakwenda kulala kwa Mbowe? Sasa Mbowe ni ndugu yake au bwana yake atangazie umma kuwa anakwenda kwake?

Acha uchawa nguruwe 🐖 wewe!
 
Si unaona sasa! Unamuita mwenzio nguruwe, mzungu akikuita kima au nguruwe unalalamika ubaguzi, sasa huo ulioonyesha si ni ubaguzi wenyewe!

It's okay, Ameongea hivyo, lakini wewe umekuja na tafsiri nyingine ya kujikomba.

Narudia tena, ili chama chenu kifike mbali basi wekeni udini, ukabila, na ubaguzi pembeni.

Olenimala nkoi?
 
Back
Top Bottom