Labda pengine teknolojia imerahishisha mengi sana lakini pia kupumbaza akili na ufahamu wa mengi hasa wale waliolewa kilevi na mvinyo wa madaraka.. Si madaraka ya kitaaluma na ujuzi wa maarifa la hasa...! Ni madaraka ya kuteuana kisiasa kwa sifa zisizo stahili kuitwa sofa kulandana na nafasi ya...