Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Naomba nitumie thread hii kukushauri class mate wangu.
Kwanza niseme niliipenda morali yako katika kutafuta mafanikio. IT WAS, 'GO BIG or GO HOME ' And now it's time to go home.
Mahoka ya vyeti / majina, ardhi feki ya Ikbar, mikakati ya hovyo kupambana na madawa, kuonea na kudhalilisha wafanyakazi wa serikali, n. k, haya sio mambo madogo. Tuwe wakweli, you won't remain the same!
Makonda / Daudi, kwenye maisha tunahangaika kutengeneza marafiki, sio maadui!
Umeziingia siasa za Tanzania kama harufu ya perfume, muda kidogo tu ukawa kama mti mrefu sana wa mkaratusi na muda kidogo, kama jini ukatoweka.
Unajua kwanini?
Kama ilivyo kwenye biashara ndivyo ilivyo kwenye siasa, it's one step at a time. Sitakushauri sana kwenye siasa kwasababu, ni kama career yako kwenye siasa inaelekea ukingoni only if you can pull out some magic.
Umeyataka mafanikio ya haraka sana, ulikosa uvumilivu wa kuyasubiria yakomae na hukujifunza sheria za mchezo.
Sasa fanya mambo ya msingi, ya kawaida kabisa.
Jiuzulu kwa heshima na usisubiri kufukuzwa, angalau utaacha impression kwamba wewe ni muumini wa accountability .
Omba msamaha kwa yaliyotokea. Ni ngumu ila kuna watu watatake note kuwa kuna uungwana ndani yako.
Acha siasa kwa sasa, fanya biashara, you have enough connection for that at least for now, don't let it soar.
Nikweli kwamba kwenye pilika zako, kwa haki au kwa kuonea, umekurupua maadui wengi mno, wanyonge na wenye nguvu. Hawa watu, kwa sala au kwa vitendo, hawatakuacha upumue, so long, kama utang'ang'ana na siasa.
Mpapai uliwahi kuushinda mti kwa busara. Pale upepo mkali ulipovuma, mpapai ulijikunja upepo ukapita, kisha ukasimama tena. Mti uling'ang'ana kusimama kisa ni imara kuliko mpapai na ukavunjwa na upepo.
Usimponze rais.
Usimponze waziri mkuu.
Usiiponze serikali.
Usikiponze chama chako.
Go home, go quite !
Fanya homework kwenye vyeti vyako.