sangu mnene
Member
- Sep 5, 2012
- 92
- 35
ile kesi yake ya kutukana imeishia wp
Hivi lile agizo la Paul Makonda kuwa kila hospitali na vituo vya Afya kinondoni kuwepo na dawati la Polisi kwa ajili ya kutoa PF 3 lilitekelezwa?
Hata msemeje ccm ni Chama dume
Hapa we umediscuss nini?Ungekua wewe ungekuja kujibu ombi too low kama hili?hizi ndo type ya siasa za maji taka discuss issues not people
sasa 7 paralegals ndio wagawane 75% ya mshahara wa makonda (after tax)? acha dharau zako mkuu.
Ungeiweka kimahesabu ingekaa vizuri zaidi.
Mkuu wa wilaya hulipwa mmilioni 2 kama mshahara
75% ya mshahara wake ni milioni moja na laki tano.
1500000/7 = 214,285.7
Kweli wanasheria wa Tanzania wanalipwa kidogo sana, hadi @makonda @anaweza @kuajiri 7?.
kweli wewe ni mmawia,you have all the characters to be mmawiaWewe unaye ujua tuambie basi badala ya kutoka mapovu hapa jamvini
kweli wewe ni mmawia,you have all the characters to be mmawia
huo mshahara wa DC hauna makato ya mikopo?PAYE?hao wanasheria watakuwa wanalipwa hela ya wastaafu sio bure!!!!!
Binafsi sioni hoja ya msingi. Inawezekana jamaa wamecharge bonafide tu.mtoa mada ana hoja ya kujadili. makonda anadhalilisha taaluma za za watu bila sababu za msingi.
Mimi siyo myao kijana,ila wamawia nawajua sifa zao,ndiyo maana nikasema una sifa zote za kuwa mmawiaKwani kuwa mmawia ni dhambi? Mbona we myao na watu tunakuona ni binadamu wa kawaida?