Makonda, Jitokeze hadharani utuombe radhi wanasheria


sawa lakini ungepeleka jukwaa la sheria
 
pamoja na kukosea kwake lakini mshahara wa mkuu wa wilaya hauwezi kuwa 2M,huyo mkuu wa idara tu anachukuwa 3M sembuse DC

acha uropokaji wewe! ni mkuu wa idara ipi analipwa 3M? wakuu wa idara, hata wale wanaokaribia kustaafu, wanaogelea ndani ya 2M.
 
wanasheria saba wanaolipwa na makonda wanaweza kuwa
1. petro mselewa
2. kimomogoro
3. prof. safari
4. kibatala
5. msemwa
6.nyange
7. Msando

kweli makonda unamshahara mkubwa aisee

Hii kali Mkuu. Nawe tuombe radhi
 

inaonekana bado hujamuelewa mtoa mada. ungetuliza akili zako kidogo ungemuelewa.
 
Last edited by a moderator:

mtoa mada ana hoja ya kujadili. makonda anadhalilisha taaluma za za watu bila sababu za msingi.
 

sasa 7 paralegals ndio wagawane 75% ya mshahara wa makonda (after tax)? acha dharau zako mkuu.
 

chabruma wapiii husikiki kabisaa.. au ndo huo ukubwa umekuminya?
 
CCM wana dhambi sana, yaani kutuwekea watu kama akina Makonda kutuongoza kwa kweli ni dhihaka kubwa sana!
 
Thats Defarmation but inatakiwa mtu ambaye ame incur mental&physical damages kwa hiyo kauli aombe compersation if such words zimemfanya aingie katika loss in either ways..!
 
Petro E. Mselewa

..hili jina si geni..hasa kwa mhitimu wa shule ya sheria chuo kikuu cha DAR
 
Last edited by a moderator:

Ile kesi ya Mrisho Gambo na mwanasheria Najum Teka iliisha na iliamuliwa in favour of Najum Mrisho anatakiwa kulipa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…