Kama huwezi kumuwajibisha mtu aliyeshindwa uongozi kwa vile tu anakutafutia waganga basi utawajibika wewe .
Acha mtukufu, huyu jamaa hafai hata kuwa house boy wangu! Aliyepo sasa hivi siwezi mruhusu avae hivi nyumbani sembuse huyu anayevaa kwenye msiba tena wa kitaifa?Hivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumruhusu Bashite kuwa mtukufu?
Mwnaharakati ‘huru ‘ Musiba kawachota Wazito wa kufanya tafakuri Mujarab wanadhan hapo anamponda Makonda
Anachojaribu ni kuonesha kuwa yeye Hana upande yuko neutral ndio sababu hata ‘Makonda aliwahi kumkosoa dhidi ya freeman Mbowe’
Hakuna la zaid analofanya
Musiba ni Mwezi mchanga na kipindi ichi ndio Wakati wake,Musiba kumbe anaweza kuwa na akili
Huyu kijana mwenzetu kabebewa mbeleko la aina yake. Makosa anayoyafanya hadharani bila kukemewa, kuonywa na kuadabishwa Kama wanavyofanyiwa viongozi wengine kwake ni ndoto kwenye awamu hii hii inayosifiwa kwa kutenda haki. Makonda amefanya mengi ya kuudhi na kuvunja sheria.
Ni Makonda aliyevamia clouds, ni Makonda aliyetukana bunge, ni Makonda aliyetuhumu watu hadharani kwa dawa za kulevya na kuharibia watu haiba zao, ni Makonda anayebaguwa wachaga.
Hata hivyo ni muda mrefu watu wamesema hakuna hatua yoyote anayochukuliwa zaidi ya kupongezwa na kukingiwa kifua. Makonda huyu habadiliki na anarudia makosa Yale Yale.
Sasa anasemwa hadharani na katibu mkuu wake wa chama, na makanisani. Anasemwa na Kila kundi la jamii. Si wapinzani, si chama tawala, si maaskofu, si wanahabari, si wanajamii peke yao lkn anasemwa na Kila kundi.
Hilo taulo la kumbeba Makonda limechoka, limetoboka. Sasa ni wakati kumbadilishia mbeleko. Wakati ni Sasa kabla hajaendelea kulitia hasara taifa.
Yeyeto mirija ikikata huwa Na akili,Ni kama ana akili Hivi lakini hana akili
Mchezo wa Baba na Mwana. Hutapata majibu sahihi Mkuu.Habari wana jamii wenzangu
Leo siandiki sana nauliza tu
Suala la makontena ya ndugu bashite limeishia wapi?Maana haiwezekani mtu akwepe kodi ya zaidi ya bilioni moja
Liliishia wapi???kama lilifukiwa tuliamshe tena upya
fisi kala fisiYa ngoswe, muachie ngoswe mkuu. View attachment 1100483