Makonda is almost so damn right!

Status
Not open for further replies.
Ndio ulichoamkia
kumuwaza mwanaume wenzako mkuu wa mkoa????

kweli mmeishiwa
 

Le mutuz anaingiaje hapa? au unataka wewe ndio ungekuwa le mutuz?
 
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Halima Mdee akae chonjo. Sitashangaa kuona bonge LA scandal limetengenezwa dhidi yake. Kilangila.
 
Leo ndio mwisho wake Msigwa ndio anaandaa barua ya taarifa hapa.
 
Na iwe kheri..... Siku Tatu nyuma Kuna mahali niliona mtu ameandika tu subiri kuanzia hiyo siku mpaka juma Tatu kichwa kinatolewa.... Nasubiri nione kama ni kweli
Leo ndio mwisho wake Msigwa ndio anaandaa barua ya taarifa hapa.
 
Mdude chadema kutwa anarusha matusi lakini Mbowe kimyaa hamkemei
 
Hivi tunawezaje kuviacha vichwa vyenye akili kama Membe, Lissu, Zitto, January na wengineo na kumtuhusu Bashite kuwa mtukufu?
Tutakuwa tumetenda kosa kubwa sana, kuongozwa na zero
 
Bashite ana kiburi cha tako, akiliona tako lilivyo kuuuubwa anaamini ana maisha marefu sana,

Kuna MTU alikuwa na tako kama Agness Masogange??? Yupo wapi SASA??

Tako lililoumuka lisikupe jeuri ukajiona Una uhai wa kudumu!

Hhahahahaha daaah ila jf ina watu wana maneno asee...imebidi tu nicheke🤣🤣🤣
 
Musiba sometimes kumbe zimo
Musiba siku zote yuko vzr sema leo unasema anakili kwasababu anamponda mbaya wenu
Kwa kazi aliyokabidhiwa Makonda na familia ya Magufuli (Namaanisha kazi ya kifamilia) si rahisi Magufuli kchukulia hatua. Labda kazi hiyo akabidhiwe mwingine na ndo utakuwa mwisho wa Makonda iwapo Magufuli hatajali kuvujishwa kwa siri za familia.
wewe unajuaje haya unayosema?
 
Makonda na msiba ni pipa na mfuniko, wale wale wasio na nidhamu
 
Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Waziri wa mambo ya ndani au waziri mkuu ?

Maana akitaka kuwa waziri wa mambo ya ndani sio lazima agombee ubunge. Baba yake anaweza akamteua kuwa mbunge.
 
We muongo na mzandiki,kwanza unaweza kuwa ni makonda au msiba kwa tafsiri ya ulichokiandika,bashite na msiba wote ni toilet paper za jiwe iweje wasielewane?
niliwahi kusikia sehemu kuwa musiba na makonda huwa hawaivi chungu kimoja. wanaishi kwa kuviziana.

kwa tukio hili la musiba nimeanza kuamini kile nilichokisikia. ila fresh tu, acha washughulikiane wao kwa wao.
 
Hawa wote bashite na msiba ni toilet papers wa jiwe,wanahadaa wananchi lkn wenye akili hatudanganyiki wajipange tena.
 
Waziri wa mambo ya ndani au waziri mkuu ?

Maana akitaka kuwa waziri wa mambo ya ndani sio lazima agombee ubunge. Baba yake anaweza akamteua kuwa mbunge.

Ndiyo maana hana heshima kwa kaka Majaliwa kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…