celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Makonda hawezi kutubu dhambi zake na hakuna wa kumwajibisha
FactWala huyu asikutishe katu. Tumewaona wengi tuu dunia ya Tanzania. Umesahau wakina Ridhiwani walikuwa wanaitwa THE Prince? Umesahau akina Nape etc..walipokuwa kwenye peak? Where are they now?
CHA KUTAMBUA NI KWAMBA KILA KITU KINA MAJIRA! Kuna wakati wa Mvua. Kuna wakati wa Jua.
Let Bashite enjoy his fame at the moment. Mda ukifika atarudi alipokuwa. Hao akina Le Mutuz si kwamba wana urafiki na Bashite. Wao wanataka access na wenye madaraka with associated benefits. Mengine ni ubatili na unafiki.
Duuh hii kali.Ila Wameru wamewahi kunya madhabauni enzi za 'vita' vya Dayosisi ya Meru !
Hana lolote ila alitaka watu wamwamini kuwa yeye ni neutral na objective. Anajaribu kutuzubaisha kuwa eti hatumiki kuchafua watu, Bali ni mchambuzi huru
Yes, hasa akiwa kwenye siku zake...huyu na Makonda wote ni zero brain, hujawahi kumsikia Makonda anaita wajane wote, halafu anawadanganya kuwasaidia, baada ya hapo...ziiiiMusiba kumbe anaweza kuwa na akili
Unadhani akiondoa ulinzi wake wa GAMBOSH pale magogoni itakuwaje???Mbeleko hii labda ipotee na mwenye mbeleko bila hivyo mtasubiri sana. Bashite ni untouchable .
Nimesikia kijana ni mtaalamu, ule u lezi wa WCB aliutumia vyema na Harmonise amewapeleka kwa vi gagula vya KimakondeUnadhani akiondoa ulinzi wake wa GAMBOSH pale magogoni itakuwaje???
Hawezi kugombea ubunge Kawe, labda huko kwao usukumani. Kama anataka kuvuliwa nguop ajaribu.Huyu ataendelea kuwa RC wa Dar na ninasikia ana mpango wa kugombea jimbo la Kawe. Akiwa mbunge anaweza kuwa waziri wa mambo ya ndani.
Mkulu namuonea huruma tu.
Ndiyo kule NGENDE....lakini pia anao wa kwake kutoka GAMBOSH, Hao wanamtii yeye tu na sio mkuluNimesikia kijana ni mtaalamu, ule u lezi wa WCB aliutumia vyema na Harmonise amewapeleka kwa vi gagula vya Kimakonde