Makonda: Hii dunia sio mali ya Mungu

Makonda anasema hupata bahati ya kumuona Rais kwa nadra sana
 
Huyu bwana mdogo ameenda mbali kwa kusema hii dunia sio ya mwenyezi Mungu. Je nani muumba wa dunia hii na viumbe vilivyomo. Ni kosa kutafuta kiki za kisiasa kwa kumhusisha Mwenyezi Mungu.

We naye hata hujui albadir inavyofanya kazi!Hizo ni dalili za awali tu,ngoja kikichanganya ndio utakubali.
 

Usicheze na bebi wake.
 
...duh...huyu ***** bashite amelaaniwa kweli kweli...anasema dunia si Mali ya Mungu???...is he insane!!...Ebu aende akasome kitabu cha Mwanzo kwenye biblia...aone Mungu alivyoiumba dunia kwa neno tu...na baadae binadamu...

...hili la kupotosha biblia hivi linatakiwa likemewe na wachungaji na maaskofu kore nchini..maana huyu ***** anapotosha bibli wazi wazi mbele ya umma...
....nategemea kina Gwajima lazima majibu hili...haliwezi kupita hivi hivi....
 
Amevimbiwa i mean anamadaraka ambayo hayakuandikwa ktk uzao wao hivyo anajisahahu kama binadam. Japo...
 
Kwa hiki kipengele kidogo tu "Dunia sio ya Mungu, Duniani tumekuja kupambana na mamlaka ya Shetani".........nimekuelewa sana Makonda, it's written all over Maandiko and everywhere else!! The World is an illusion (spiritual dream)

Quran: 47:36. The life of the world is but a sport and a pastime. And if ye believe and ward off (evil), He will give you your wages [on J-DAY], and will not ask of you your worldly wealth.
 
Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..

Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh

Acha wivu
We manzi sikuelewagi nakuonaga waki sana ujue.

Hivi una basha kweli? Au ni ngunga zinafanyaga akili yako igande?
 
Kweli mlango wa nyuma bana ni Nouma mpaka inafkia panya anajiona Mungu
 
Fanya yote lakini usifanye kiburi na Mungu. Dunia ya nani, Trump? Watu kama hawa wenye kiburi walitokea.wengi sana kwenye historia ya dunia na wooooòte mwenye dunia mwisho wake anawaonyesha na kudhalilika hapa duniani ili kuwa kama somo kwa wengine. Omba radhi haraka sana kwa mola wake kijana! Huo wadhifa uliokuwa nao ni mdogo sana tena mdogo sana. Kwa hapa Africa nafikiria hata top 1000 utakuwa humo!
 
Makonda...BASHITE..msameheni Bure. ..inaonekana hata open book paper anpata ZERO..anaquot bible alafu haijui..anataka kujihalalushia kwa maandiko FEKI.?
 
Swali langu moja tu, hivi Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa sheria za dini?
Kama jibu ni hapana, mbona kila siku magu na bashite wakiongea ni mungu mungu mungu, ndiyo njia pekee ya kushika akili za wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…