Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,400
- 29,551
Rais hapangiwi kitu kwa katiba yetu ya 1977 hakuna cha kushangaa hapo Rais yuko right kabisa.Nimesoma nikiwa siamini macho yangu taarifa katika Gazeti la Mwananchi (online) kwamba,
Rais John Magufuli...alisisitiza kwamba elimu yake (Makonda) siyo kitu kwake na kwamba hata angekuwa hajui kusoma yeye ni bora kwake kwa sababu anafanya kazi nzuri ambayo hata baadhi ya waliosoma hawaifanyi"
Imeripotiwa kwamba Rais Magufuli aliyasema hayo leo Jumanne wakati akifungua mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Kilichonishangaza ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, anayejisema kwamba yuko kuinyoosha Tanzania na kuepukana na kila aina ya ufisadi na udanganyifu, anakiri kwamba yuko tayari kumtumia mtu mwenye tuhuma za kosa la kijinai ili mradi tu ni mtenda kazi mzuri, na hatajali malalamiko yanaotolewa dhidi yake, hata kama ni ya kweli?
Nani aliyedai kwamba suala la Makonda ni tokuwa mfanyakazi bidii? Hakuna.
Raisi Magufuli anataka tukate shauri kwamba;
Kwa kweli sasa namtazama Raisi wangu Mafgufuli katika mtazamo mpya kabisa. Na ningependa tu ajue kwamba kauli aliyotoa juu ya Makonda, na nyinginezo, katika nchi zenye demokrasia ya kweli ingesababisha aondolewe madarakani.
- Kufuata sheria za nchi ni jambo linalotakiwa kufanyika pale tu linapokuwa na manufaa binafsi kwake
- Suala la baadhi ya watendaji wa kamati za madini kutuhumiwa kwamba nao ni wachafu na raisi akawatetea inawezekana ilikuwa ni zuga tu
- Raisi anachagua nani wa kuchukuliwa hatua nani wa kuacha pale makosa yanapofanyika
- Kwa hiyo raisi wa Tanzania anavunja kimakusudi inayotaka asimamie sheria za nchi bila kupendelea mtu
Makonda chapa kazi ....mnasema hana cheti wakati anajenga ofisi za waalimu
'Be careful watch it, you have the power to type your comment but not to that extent'Biblia sio gazeti wewe,kilaza atayajulia wapi kutafsiri neno la Mungu
Kwa hiyo na wewe unatoa hukumu kiutabiri!?Hakika alikosea. Na kwa mamlaka ya kinabii namtabiria ya Herode (aliyewatesa mitume) kumkuta.
Nimesoma nikiwa siamini macho yangu taarifa katika Gazeti la Mwananchi (online) kwamba,
Rais John Magufuli...alisisitiza kwamba elimu yake (Makonda) siyo kitu kwake na kwamba hata angekuwa hajui kusoma yeye ni bora kwake kwa sababu anafanya kazi nzuri ambayo hata baadhi ya waliosoma hawaifanyi"
Imeripotiwa kwamba Rais Magufuli aliyasema hayo leo Jumanne wakati akifungua mkutano mkuu wa 33 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Kilichonishangaza ni Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, anayejisema kwamba yuko kuinyoosha Tanzania na kuepukana na kila aina ya ufisadi na udanganyifu, anakiri kwamba yuko tayari kumtumia mtu mwenye tuhuma za kosa la kijinai ili mradi tu ni mtenda kazi mzuri, na hatajali malalamiko yanaotolewa dhidi yake, hata kama ni ya kweli?
Nani aliyedai kwamba suala la Makonda ni kutokuwa mfanyakazi bidii? Hakuna. Hata mimi nakubali Makonda ni mchapakazi - lakini haihalalishi kitendo chake cha kufoji, kosa la jinai, kama ni kweli, na Raisi anapaswa aelewe hilo hata bila kuwa na PhD.
Raisi Magufuli anataka tukate shauri kwamba;
Kwa kweli sasa namtazama Raisi wangu Mafgufuli katika mtazamo mpya kabisa. Na ningependa tu ajue kwamba kauli aliyotoa juu ya Makonda, na nyinginezo, katika nchi zenye demokrasia ya kweli ingesababisha aondolewe madarakani.
- Kufuata sheria za nchi ni jambo linalotakiwa kufanyika pale tu linapokuwa na manufaa binafsi kwake
- Suala la baadhi ya watendaji wa kamati za madini kutuhumiwa kwamba nao ni wachafu na raisi akawatetea inawezekana ilikuwa ni zuga tu
- Raisi anachagua nani wa kuchukuliwa hatua nani wa kuacha pale makosa yanapofanyika
- Kwa hiyo raisi wa Tanzania anavunja kimakusudi Katiba ya Tanzania inayotaka asimamie sheria za nchi bila kupendelea mtu
Wewe ndio huelewi maana ya sala ya Bwana kitheolojia na ndio maana mnapigia makofi ujinga.Dunia ukimtoa Mungu ni tupu tu haina chochote na ujinga wa kiwango cha lami kudhani kuna sehemu katika upeo wa macho yetu kunaitwa mbinguni.Huyo bashite akasome tena na tena hiyo sehemu hiyo ya sala ya Bwana ili aelewe nini maana ya ufalme wako uje.Msipotoshe maandiko kwa kujipatia walimu makundi makundiNi kwamba haujamuelewa, simpo!
Una matatizo ya akili wewe!Tulia bila wivu wako juu yake usikilize tena hadi mwisho..
Ona mgazeti wote umeenda kusoma Bible na ku C&P kuja kuandika majanga huku hauna subira wala hauelewi unayosikiliza.. eeeh
Acha wivu
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji4] [emoji4]Nyie wazee mliosoma albadiri mungu anawaona. Legezeni kidogo
kila mtu ana haki ya kuamini anachotaka...MBONA WA INDI WANAAMINI NG'OMBE WAKATI SISI TUNAMLA. usitake watu waamini unachotaka wewe... be wise foolMnahangaika bure na makonda, yeye anachapa kazi aliyotumwa nanyi fanya za kwenu