yuleMskinny
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 242
- 136
Jana usiku huko Element ambapo msanii Omarion alikua akitumbuiza, Mkuu wa Mkoa wa DSM alikuepo pia na Kutokana na habari zilizosambazwa na Mangekimambi ni kwamba kulitokea na mgogoro kati ya Mkuu wa Mkoa na Msanii huyo wa Marekani, Omarion na kusababisha shughuli io kuisha mapema na msanii huyo kujawa na Jazba. Fuatilia zaidi