Makonda awamu ya tatu jiepushe na haya majina

live talk

New Member
Nov 12, 2016
4
3
Tumeona katika awamu ya pili umewataja watu wengi sana ila kuna baadhi ya watu umewaweka lakini haujafanya tathmini yeyote kama wanahusikaa ila katika awamu ijayo jiepushe na baadhi ya majina kama njia ya kuwachafua kama ulivyofanya kwa mbowe

Majina haya ukiyaweka awamu ya tatu ya madawa ya kulevya itafeli tu itakosa mvuto kabisa
Lowassa
Zitto kabwe
Mengi
Mo dewji
Nk

Sisi tunataka haya majina yaliyotrend sana kama
Riz1
Gsm
mutuz kama punda
Kinje
Nsembo

tapatalk_1486928113995.png

Mungu ajujalie katika kazi iliyotukukaa
 
View attachment 469899

Mungu ajujalie katika kazi iliyotukukaa
Hao ndio mabosi wako? No stone will be left unturned. Tukutane kesho saa 4
 
Watu washajua ni politics tu kati ya 65 wameenda wanne ngoja tusubiri watawakamata wote? Nchi inapoelekea ni pabaya sana Musukuma amesema, Millinga kasema, na Ndugai kasema wamekwepa lawama baadae, kila la kheri mh makonder
 
Hapo ktk hao uliomsihi asiwataje naona km jina moja wapo kubwa lipo kikosini.
 
Watu washajua ni politics tu kati ya 65 wameenda wanne ngoja tusubiri watawakamata wote? Nchi inapoelekea ni pabaya sana Musukuma amesema, Millinga kasema, na Ndugai kasema wamekwepa lawama baadae, kila la kheri mh makonder
Ngoja nione naona kama masaaa hayaendi yani mpaka sasa yale majina ambayo watanzania wanayafahamu hayapo kwenye list hope ya kesho hahaaaaaaa
 
Na aache kutaja jina la Mungu tena... Kwani mambo yatazidi kumuendea vibaya... kazi za Kishetani na kaisari zisichanganywe na kazi za Mungu! My advice
 
Back
Top Bottom