Makonda atakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua Lowassa

GIBA KB

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
367
110
Kijana Paul Makonda ametakiwa kuomba msamaha kwa tuhuma alizotoa kwamba mwenyekiti wa CCM Singida anatumiwa na Lowassa kuhujumu chama.Vilevile ametakiwa kumwomba msamaha Lowassa.

Ametakiwa aombe msamaha kupitia vyombo vya habari na kulipa kiasi cha milioni 100
.

attachment.php
 
Attachments

  • IMG-20150213-WA0070.jpg
    IMG-20150213-WA0070.jpg
    106.1 KB · Views: 7,475
Habari haijakamilika. Ni nani anamtaka Makonda aombe msamaha na kulipa hizo milioni 100?
 
Kijana Paul Makonda ametakiwa kuomba msamaha kwa tuhuma alizotoa kwamba mwenyekiti wa CCM Singida anatumiwa na Lowassa kuhujumu chama.Vilevile ametakiwa kumwomba msamaha Lowassa.
Ametakiwa aombe msamaha kupitia vyombo vya habari na kulipa kiasi cha milioni 100
Katika vijana wa yule fisadi wewe ni yupi miongoni mwao.
 
Bwana mdogo anatumika na haijui vizuri CCM. Ngoja atoswe na hao waliokuwa wakimtuma kama hatalazimika kwenda kumrembulia macho Guninita ili amsamehe.
 
Hapo hajaingia madarakani ukiropoka tu kidogo 100million unalipa....Akiingia madarakani je??

Mungu nisaidie nipe Neema ya kuishi miaka 100
 
Hii barua ilivyoandikwa sijui.

Back to the topic,hakuna seriousness katika siasa za Tanzania na hili litapita kimya kimya wala halitasikika tena.
 
Hapo hajaingia madarakani ukiropoka tu kidogo 100million unalipa....Akiingia madarakani je??

Mungu nisaidie nipe Neema ya kuishi miaka 100
Hiyo ni dawa ya mijitu inayotumwa na jk na ritz.tena achapwe na bakora 12 iwe fundisho
 
Kama wameshindwa hata kutoa tarehe ambayo Paul Makonda ametamka maneno hayo bila shaka hata hoja zao hazina msingi
 
Back
Top Bottom