Makonda atakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua Lowassa

Hili jizi limeanza kutisha watu wasiseme ukweli kisa linataka kwenda Ikulu kwa gharama yoyote! Limemjengea Msindai nyumba pale Singida mjini! Edwar Lowassa ni mwizi,fisadi asipewe nafasi ya kwenda Ikulu ni jambaaazi
 
Hapo hajaingia madarakani ukiropoka tu kidogo 100million unalipa....Akiingia madarakani je??

Mungu nisaidie nipe Neema ya kuishi miaka 100


Ndiyo maana tunawaambia Edward Lowasa hafahi kuwa rais kwa kuwa ni fisadi lakini pia ni mtu wa visasi
 
Vitisho vimepamba moto! Ujumbe unaotumwa hapa kwa jamii ni kwamba, yeyote asithubutu kumsemea ovyo Lowassa, atakiona cha motoooooo! Watu wote ndani ya CCM wanyamaze kimya, wamwache Lowassa achanje mbuga kwenda Ikulu, bila kupingwa!
Mmeanza kujihami fuunbafu,mmemchafua Lowassa sana sasa mkathibitishe madai hayo mahakamani sio kuanza kujihami kutumia mwavuli wa Uhuru wa kuropoka,
 
Fagio wa kufagilia chooni toka lini ukachafuliwa? Hivi huyu Lowa - Hasa anafikiri atakuwa Rais? Thubutuuuu
 
Habari haijakamilika. Ni nani anamtaka Makonda aombe msamaha na kulipa hizo milioni 100?

Hivi Makonda huyu ninani na ana nafasi gani ndani ya ccm hadi anaropoka hovyo namna hii?Au kale kanafasi ka kuwa mjumbe wa bunge la katiba?
 
Kijana Paul Makonda ametakiwa kuomba msamaha kwa tuhuma alizotoa kwamba mwenyekiti wa CCM Singida anatumiwa na Lowassa kuhujumu chama.Vilevile ametakiwa kumwomba msamaha Lowassa.

Ametakiwa aombe msamaha kupitia vyombo vya habari na kulipa kiasi cha milioni 100
.

attachment.php

Hili toto vuvula sana, milioni mia litapata wapi?! Yalaaaa! Toto linaliwa kiboga sasa ili kufidia malipo.
 
Hili jizi limeanza kutisha watu wasiseme ukweli kisa linataka kwenda Ikulu kwa gharama yoyote! Limemjengea Msindai nyumba pale Singida mjini! Edwar Lowassa ni mwizi,fisadi asipewe nafasi ya kwenda Ikulu ni jambaaazi
Kama usipo thibitisha hilo unatakiwa upigwe ban mods angalieni hilo


swissme
 
Jamaa akiwa Rais ukimsema vibaya unadaiwa ma billion

ukiongeza 000 ktk trilioni inakua ngapi? zilioni? hayo matrilioni Anayo tayari. atataka hayo mazilioni ili ushindwe kulipa uwekwe ndani, akulipie gharama usote hadi ufie jela. hapendi waponzani sijui akiwa rais, kwa miujiza, wapinzani watahamia wapi!
 
Back
Top Bottom