Makonda atakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua Lowassa

Makonda kipofu ambaye alibahatika kuona siku moja, na kusema ukweli kuhusu EL. Mwizi hawi rais popote duniani, hawi amri jeshi mkuu, hawi mwenyekiti wa chama isipokuwa kama chama chenyewe ni cha wezi watupu.
 
Hoja ya kijinga na kipuuzi huo ndiyo ukibaraka sasa unatumikia mafisadi.
 
Back
Top Bottom