Makonda atakiwa kuomba msamaha kwa kumchafua Lowassa

wengine tunaamini tutakuwa mashuhuri na muhimu tukiwachafua wale waliouzidi umri heshima na uzoefu lakini yote haya ni malezi duni ya sisi wazazi wake
 
Kama wameshindwa hata kutoa tarehe ambayo Paul Makonda ametamka maneno hayo bila shaka hata hoja zao hazina msingi

Ushahidi huu hapa, jamaa akiwa na ITV na Star TV,

Jamaa hachomoki hapa, aende tu akawapigie magoti. Wamemshika pabaya
 
Last edited by a moderator:
kwa ushahidi huo..... akitaka kuchomoka awe na vielelezo vya kutosha la sivyo ndo vile tena..... anyooshwe tu
 
Walichelewa sana kumuadabisha huyu Mla msuba changa, Mara Warioba, mara Msindai, Mara guninita, mara Lowassa... Butiku kumbe alikuwa anajua mchezo wote ndo maana akasema kuwa Makonda anaongea kwa niaba ya Membe... Boss wake inabidi ajiangalie upya otherwise itamharibia Zaidi ... nje ya CCM, sisi tunaichukulia hili sakata kama Mnara wa Babel unaanza kuporomoka! Makonda anatumwa Mwiko yeye anapeleka sururu ...
 
Post za kiCCM bhana? pumba 2pu, haya ombaneni misamaha bhana sisi wengne hayatuhusu hayo
 
Walichelewa sana kumuadabisha huyu Mla msuba changa, Mara Warioba, mara Msindai, Mara guninita, mara Lowassa... Butiku kumbe alikuwa anajua mchezo wote ndo maana akasema kuwa Makonda anaongea kwa niaba ya Membe... Boss wake inabidi ajiangalie upya otherwise itamharibia Zaidi ... nje ya CCM, sisi tunaichukulia hili sakata kama Mnara wa Babel unaanza kuporomoka! Makonda anatumwa Mwiko yeye anapeleka sururu ...

Ukweli tutauona siku zinahesabika
 
mwacheni lowassa mungu amempangia akafie pale ikulu sasa cha msingi mgombea mwenza awe jembe maana yatakuwa ya Omari Yaradoa Na Gudlack Jonathan
 
Walichelewa sana kumuadabisha huyu Mla msuba changa, Mara Warioba, mara Msindai, Mara guninita, mara Lowassa... Butiku kumbe alikuwa anajua mchezo wote ndo maana akasema kuwa Makonda anaongea kwa niaba ya Membe... Boss wake inabidi ajiangalie upya otherwise itamharibia Zaidi ... nje ya CCM, sisi tunaichukulia hili sakata kama Mnara wa Babel unaanza kuporomoka! Makonda anatumwa Mwiko yeye anapeleka sururu ...

Ukweli tutauona siku zinahesabika.
Wa kulipa 100 milioni ni Yule aliye tuibia pesa zetu na si vinginevyo.
 
Walichelewa sana kumuadabisha huyu Mla msuba changa, Mara Warioba, mara Msindai, Mara guninita, mara Lowassa... Butiku kumbe alikuwa anajua mchezo wote ndo maana akasema kuwa Makonda anaongea kwa niaba ya Membe... Boss wake inabidi ajiangalie upya otherwise itamharibia Zaidi ... nje ya CCM, sisi tunaichukulia hili sakata kama Mnara wa Babel unaanza kuporomoka! Makonda anatumwa Mwiko yeye anapeleka sururu ...
Mkuu umeniacha hoi kwa kicheko,kwamba Makonda anatumwa mwiko ye analeta sururu.hahaaaaa
 
Back
Top Bottom