Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sana mwenendo na tabia za kisiasa za Paul Makonda, nikahisi ni mtu anaweza kuwa anatumika kwa makusudi maalum(Yaani Chambo, kijaribio(Pilot test), Kitangulizi au Kianzisha mwendo, Kivuli cha kujifichia wakubwa zake).
Wengine pia wenye hulka hizo ni Nape Nnauye, Humphrey Pole Pole, Salum Hapi, Mrisho Gambo nk.
Na haya ni baadhi ya Mambo ya msingi sana ambayo mara zote yamekuwa yakienda sambamba na Makonda
1/Kila alichokuwa akikishupalia sana, basi baadaye ilijulikana kuna Mkubwa aliyekuwa akimtuma kusema au kufanya hayo.
2/Kila tukio kubwa la ajabu ajabu alilofanya Makonda lilipelekea Kupongezwa au kuaminiwa na kupewa cheo cha juu zaidi na Wakubwa wake.
3/Mara zote amekuwa akipenda kufanya mambo kwa ubinafsi zaidi kuliko kitaasisi, na hapo hapo wakubwa wake wakifurahia na kumpongeza
4/Ni mtu anayependa Kujipendekeza na kujihusisha kwa gharama yoyote ile na wakubwa wake wakuu(Ni rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wake).